Tumuenzi Kikwete Historia isije Ikamsahau

we kweli kichwa empy,ni miaka 6,anaenziwa mana mda wowote hata kesho anaweza akaachia ofice
 
Umepoteza muda wako mwingi wa maisha yako kusomea uandishi lakini taaluma imekutupa umebakia kuwa mercenary!! Ningekuita MALAYA kwani utamtumikia yeyote atakayelipa dau lako.!!
siyo kwamba ungekuwa malaya,...ndo kazi yako na unajua dau kwahiyo usingejua kuzitafsiri fasihi
 
Unaanzaje kumuenzi mtu ambaye bado ana miaka 4 madarakani?

mbona wengine wameshaanza kumuenzi kwa mengi ambayo ameyafanya? miaka mitano iliyopita amefanya mengi kuliko marais wengine watatu waliomtangulia ni rahisi hivyo kuweza kuona miaka minne ya neema itakuwaje. Pia tukianza sasa tutammotivate zaidi kufanya makubwa zaidi.
 
unataka aenziwe akishakufa? hebu acha wivu wa kike..
mkjj, how dare u forget airport mpya ya bagamoyo, nyumbani kwao! na kwa vile mtm amesuggest olympic team iitwe ridhiwan kikwete, basi walau mama salma aenziwe kwenye hii ya bagamoyo kwa uthubutu na umahiri wake wa kum-support baba mdogo wa taifa hili changa.
kwa sababu dr jk aliahidi na kutimiza ahadi yake ya bajaj kwa ajili ya wamama wajawazito, pengine zinaweza kuitwa saint kikwete ambulance (mbona kuna st john's?)
Unaanzaje kumuenzi mtu ambaye bado ana miaka 4 madarakani?
 
lazima ulalamike coz ameguswa mumeo. sidhani kama pumba zako zinamzidi mtu humu Mr. ingilishi a.k.a mwamiaji haramu

Umejibu sahihi sana, pumba zangu hazimzidi mtu humu meaning sina pumba kama za watu wengine. Ndiyo maana nimemwomba jamaa apungunze pumba kwasababu zinaharibu jamvi.
 
Kitufe cha Thanks naona kimerudi,haya,tumuenzi.
 
Umepoteza muda wako mwingi wa maisha yako kusomea uandishi lakini taaluma imekutupa umebakia kuwa mercenary!! Ningekuita MALAYA kwani utamtumikia yeyote atakayelipa dau lako.!!

Kama ungesoma kwa makini na kuelewa maana ya Mwanakijiji ungeweza kujua kuwa maana yake ni sawa na yako. Labda ya kwake imekwenda mbali zaidi. Mko ukurasa mmoja, lakini alichofanya Mwanakijiji ni kujaribu kumvika mfalme vazi ambalo ni watu wenye busara tu wanaweza kuliona.
 
Na yale majengo ya biashara yabadilishwe yaitwe Hon. Lt. Col. Chief. Alhajj. Dr of three PhD's J.K. Nadhani ina kautamu fulani hivi na heshima sana maana hajapata na hatapatatokea kiongozi kama yeye anaependa Wamachinga kiasi hiki! Vipi upande wa kilimo kwanza aitweje?
 
Sikujua kwamba Mzee Mwanakijiji ni MNAFIKI kiasi hiki. Acha utoto mzee, you are too matured to write pumbaz like these
 
wengi hawajakulewa mwanakijiji.......mfano kija nape hapa anaweka akausujudia kabisa.......
 
wengi hawajakulewa mwanakijiji.......mfano kija nape hapa anaweka akausujudia kabisa.......

Sema wewe hujamuelewa, usiseme wengi Mpwa unakosea! Mie nimemwelewa na hata walio comment earlier wamemwelewa hata MWITA25 nae amemwelewa ndio maana comment zake ziko vile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…