Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
unajua uongozi huwa unaleta bubble hivi....
una loose touch na reality....
kama kuna mtu leo alimsikiliza kikwete akihojiwa kuhusu
birthday yake na east africa radio...kipindi cha saa nane....ilikuwa aibu tupu....
yaani hilo bubble alilomo ni la aina yake....so sad...
Sikuamini yale niliyosikia toka kwa huyo mjomba!! Hapa chini ni baadhi ya majamboz aliyoyasema...
'nikisafiri uwa narudi na CDs nyingi sana, hata mwanangu Ritz1 anafahamu'
'ninapokuwepo mjini lazima niende taifa kama Taifa Stars wanacheza'
'ninapendekeza muwe na kipindi cha nyimbo mpya; kiitwe mpya za mwezi huu'
Duh! Hayo ni maneno ya mheshimiwa mtukufu mpendwa daktari alhaji rais!!