Tumtengeneze Mwigulu kuwa Rais bora ajae

Tumtengeneze Mwigulu kuwa Rais bora ajae

Ukishakuwa waziri mkuu possibility ya kuwa rais ni ndogo, aliweza mwalimu Nyerere. Kama Salim Ahmed Salim alikosa, itachukua miaka mingi huko mbele kuja kupata rais aliyekuwa PM.
Imeandikwa wapi hiyo?
 
Nenda kadese na wewe kama ikiwezekana
Halafu huyo Mwigulu ni mjinga wa hatari, anasema ana miaka 50, ila 2015 aliingia kugombea urais, na wakati kikatiba urais lazima uwe na 42+ yrs.
 
Imeandikwa wapi?
Just believe me, hakuna mtu aliyewahi kuwa PM akawa Rais wa Tz. Unapokuwa PM unakuwa exposed kwenye mabaya yote ambayo Serikali ya wakati huo inafanya. Inapofika kutafuta mgombea, unkuwa umechokwa na "wadau"
 
Dalili gani.. Nijuze pia mkuu

Ameshika nafasi nyingi kubwa Tu, kina kitu ameshawahi kufanya cha kuonesha vision, charisma na utendaji kazi wake.

Simaanishi huu wa camera nyingi, namaanisha ule ambao ukisema leo hii wizara ya fedha ipo namna A kwa sababu yake etc
Huyu ndo aliua hata mfuko wa road fund alafu anapiga porojo za Wakandarasi wamelipwa mtu muongo kwa maslahi yake hawezi kua Rais wa nchi ova Nchimbi anatosha
 
Haijaandikwa ndio maana sikusema haiwezekani, inawezekana ila itachukua muda kidogo kutokana na mazoea yaliyopo na ile dhana ya "kubadilisha oil"
Aaah!! yule alikuwa mwehu kama wehu wengingine, kubadilisha oil ndo nini?
 
Mwigulu Nchemba Urais wa kwenye mawe aliojipa 2015 unamtosha kwani hata hii nafasi aliyopewa anapwaya sana.
Labda shida atakayokutana nayo ni ileile ya Waislamu na Wakatoliki wanaopokezana kwenda pale Ikulu.
 
Unanifahamu? Au unajua tunafanana kwa kuwa tupo wote jf? Kama nilidesa naye nikarudie? Huna hoja chawa
Kwa hoja zako hizi kama nawe una PhD basi elimu yetu imeshuka vibaya sana. Ni thesis za Plagiarism. yaani garbage in garbage out.
 
Just believe me, hakuna mtu aliyewahi kuwa PM akawa Rais wa Tz. Unapokuwa PM unakuwa exposed kwenye mabaya yote ambayo Serikali ya wakati huo inafanya. Inapofika kutafuta mgombea, unkuwa umechokwa na "wadau"
Mbona Magufuli alikuwa waziri kwenye serikali ya JK lakini lakini watu hawakumchoka na akawa Rais?. Hata Sokoine alikuwa Waziri Mkuu na angeweza kuwa Rais pia. Salim Ahmed Salim kama sio wazanzibar wenzake angeweza kuwa rais pia.
 
Huyu ndo aliua hata mfuko wa road fund alafu anapiga porojo za Wakandarasi wamelipwa mtu muongo kwa maslahi yake hawezi kua Rais wa nchi ova Nchimbi anatosha
Labda kwakuwa tunaangalia uislam na ukatoliki tu basi. Tayari Nchimbi unaemsema ni Mkatoliki ingawa hata yeye simchukii.
 
Back
Top Bottom