Tumtengeneze Mwigulu kuwa Rais bora ajae

asikwambie mtu, kazi ya mwanasiasa ni kutatua kero za wananchi hata kama kinafiki tu. Kero iliyotatutuliwa haijali kama imetatuliwa kinafiki au kidhati. Mwanasiasa anaangalia sasa, leo na kesho kwa wakati mmoja. Hata Trump anafanya hivyo, Macron anafanya hivyo, Museven anafanya hivyo nk.
Kama ingekuwa watu wanaokotwa kirahisi hivyo, usingeona mauji kama yale ya juzi. Zama zikishapita zimepita boss.
 
Kwa hoja zako hizi kama nawe una PhD basi elimu yetu imeshuka vibaya sana. Ni thesis za Plagiarism. yaani garbage in garbage out.
Zina tofauti gani na mropokaji mwegulue? Kumbe ni garbage mnajua na mnampigia debe! Yani unajibiwa unavyokuja kijana
 
Mbona Magufuli alikuwa waziri kwenye serikali ya JK lakini lakini watu hawakumchoka na akawa Rais?. Hata Sokoine alikuwa Waziri Mkuu na angeweza kuwa Rais pia. Salim Ahmed Salim kama sio wazanzibar wenzake angeweza kuwa rais pia.
Unabisha nini na umeambiwa nini? Waziri mkuu elewa hilo we kilaza.
 
Mimi sizungumzii ukatoliki mbona namkubali Kasimu Majaliwa mbona namkubali Suleimani jafo
 
Binafsi simkubali kutokana na tabia za hovyo za sifa na bullying ya watumishi ila kwamba amefanya nini hapo ana Cha kuonesha.

Ni katika nafasi yake kama Waziri wa fedha ambapo uchumi umefanya vizuri sana na ndio kipindi ambacho Serikali imemwaga mabilioni mengi kuliko wakati mwingine wowote.
Ni katika kipindi chake kodi na madeni ya nchi yaliongezeka huku mfumuko wa bei ukipanda kiasi cha fedha kudhoofika dhidi ya US dollar..
Hapo hujaongelea privatization ya vitu kama bandari na kuingia mikataba mipya ya madini mfano helium lakini na movement ya wamasai loliondo

Kukusanya na kutoa pesa pekee sio efficiency ya kiuchumi. Tunaangalia factors zote, ni sawa na kusema pati la mtu mmoja mmoja limekua na wakati GDP inakua kwa investment ya mchina na wawekezaji wa nje ambao wengi wanaweka mitaji na faida inaenda kwenye nchi zao.

Hivyo wakati figures zinakua, hazitokuwa na reflection ya maisha ya wananchi kwa ujumla...

Ndio maana nilitamani kujua specific metrics.. Sio tu kusema pesa zimetoka, vipi kuhusu human development index, au tax efficiency, inflation etc
 
Kodi zipi zilizoongezeka? Pili kama zimeongezeka Ili kupangua WiGo wa ufadhili wa Serikali Kuna ubaya gani?

Mwisho hakuna mfumuko wowote wa bei Tanzania hii.

Deni lipo Toka Uhuru
 
Kuna tofauti katika kumkamua ndama maziwa na kuongeza ng'ombe wa maziwa ili upate maziwa mengi zaidi..

Hata hivyo umenielewa, haya mengine ni kutetea upande unaoupenda baselessly
 
Kuna awamu Wananchi wameneemeka kama awamu hii? Huoni magari yamejaa barabarani? Huoni maelfu ya Ajira zilizotolewa na Serikali? Huoni matumizi ya mbolea shambani yametoka Tani 600 Hadi over 1.2Milion tonne per year?
 
Hongereni naona wananchi wana raha ambayo hawajawahi ipata tangu uhuru

vyakula bwelele, shilingi ipo imara, kodi kiduchu, biashara zinafanyika kirahisi, viongozi wapo imara kusimamia rasilimali na ustawi wa wananchi wao

Usafiri safiii, afya safiii, kilimo na ufugaji safiii, utalii safiii, elimu safii

Mama mitano tena 🔥🔥
 
Kwa sehemu kubwa ndivyo ilivyo ndio yhusikii vyuma kukaza Wala Mafuta kupanda Kwa sababu za vita.
 
Back
Top Bottom