Tumshukuru MUNGU kwa haya

Tumshukuru MUNGU kwa haya

[TABLE="width: 684"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 119, bgcolor: transparent"]1 Wathesalonike[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]5[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]18[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
[TABLE="width: 684"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 119, bgcolor: transparent"]1 Wathesalonike
[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]5
[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]18
[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Asante kwa quotation mama Mamndenyi
 
Binafsi nafikiri kumshukuru Mungu ni popote, hata barabarani, nyumbani, kazini, vitani nk ili mradi tu shukrani zako na maombi yako yawe yanatoka ndani ya moyo wako na hufanyi hivyo ili kuwaonyesha watu kuwa wewe ni mtu wa Mungu
Ndugu Horsepower ibada hasa ya maombi ni mahali popote, unajua kuna siri kubwa kwenye maombi, unaweza ukaepusha ajali kwa kusali kimoyomoyo tu
 
Ni kweli Mokoyo
Ni jambo jema kumshukuru Mungu kwa mema mengi aliyotutendea na kutupa kibali chake kuiona siku njema ya leo
Wenzetu wengi tumeachana nao katika maisha haya wengine ni wagonjwa mahospitalini kwa muda mrefu na wengine walipata ajali ambazo zilichukua baadhi ya viungo vyao ila shukrani kwake kwa ulinzi wake na kutuwezesha kuiona siku hii na kufikia muda kama huu
asante sana Mwenyezi Mungu kwa wema wako na baraka zako kwangu na kwa familia yangu na namuomba azidi kutupa ulinzi wake kwangu na kwa familia yangu.
Ndugu Mr Rocky huwa natazama hizi ajali zinazowapata watu ambao wanakuwa asubuhi wameaga familia zao wankwenda kwenye kazi na biashara lakini badala ya kurudi wakiwa hai wanarudishwa wakiwa wafu kwa ajali na magari, pikipiki n.k. Sisi tunatoka kama wao na kurudi salama tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu
 
Mkuu Mokoyo kwa kweli hakuna kinachotisha kama hicho mkuu
Umeaga asubuhi na unaahidi kurudi mapema familia yako inaletewa habari za msiba kwa sababu ya ajali
Mkuu ukiangalia tena hawa madereva wa toyo na daladala wanavyoendesha rough unamshukuru Mungu ukirejea nyumbani salama bila kupata ajali au kugongwa
 
Last edited by a moderator:

Mr Rocky kuna wakati nilikuwa natoka Iringa nikakuta ajali ambayo imeua familia ya watu saba, baba, mama, watoto watatu, housegirl na ndugu mmoja
 
Mr Rocky kuna wakati nilikuwa natoka Iringa nikakuta ajali ambayo imeua familia ya watu saba, baba, mama, watoto watatu, housegirl na ndugu mmoja

Mkuu Mokoyo hilo ni janga aise kwa kweli na Mungu tuu azirehem roho zao
Kusafiri na familia haswa kwenye gari moja kwa hawa madereva wa sasa wa toyo wanaojifunza asubuhi jioni yuko barabarani kwa kweli ni risk sana maana wewe unaweza kuwa makini sana ila dereva toyo au daladala akakuponza
 
Kwa thread hii tuwakumbuke hata washkaji zetu tuliokuwa nao kwenye darhotboard;

MKUU MAMBO VIPI?
 
Kwa thread hii tuwakumbuke hata washkaji zetu tuliokuwa nao kwenye darhotboard;

MKUU MAMBO VIPI?
Mkuu Tutor B salama kabisa kaka
mambo yanasemaje
Huku tuko salama tunamshukuru Mungu sana
 
Last edited by a moderator:
Tumegongana mawazo, Shukran ni popote, si lazima kwenye majumba ya ibada!

Nimefikiria kipuuzi, hiyo ya kutuma sadaka kwa njia ya tigo pesa au mpesa, mwisho wa siku sister, utaishia kufuatilia ibada kwa njia ya twitter, facebook, youtube nk na interest ya kwenda kuungana kwenye majamba ya ibada na wenzako ili kutengeneza umoja katika imani moja itaisha kabisa!
Afu huwezi amini hiyo ya kutuma sadaka kwa tigo pesa nimeweka kiutani kumtania.....mim mkatoliki hatuna huo utaratibu....lakini naona madhehebu mengine wanafanya hvyo.....

Anyway nashukuru kwa mawazo yako......natumai sitafika huko ulipowaza....
 
Ndugu Horsepower ibada hasa ya maombi ni mahali popote, unajua kuna siri kubwa kwenye maombi, unaweza ukaepusha ajali kwa kusali kimoyomoyo tu

Hii ya kuepusha ajali ni la kweli....kuna siku tulikuwa tunasafiri tuko kwenye gari dogo...wasichana watatu...mwanaume mmoja pamoja na dereva.....tulikuwa tunaenda kijiji kimoja kinaitwa duthumi...morogoro uko...

Sasa nikawa nasali rozali nimemaliza...nikapitiwa na usingizi gafla nikawa nawaza nasema Yesu Yesu...ah kushtuka gari linayumba....linatupeleka nje ya barabara....ah nilitaja jina la Yesu mfululizo gafla gari likageuka tunapotoka....

Kiukweli tulikuwa tunaenda kubingirika sijui mara ngapi...kiukweli jina la Yesu lina nguvu...na kusali kunaepusha ajali nyingi sana....tuwe na utamaduni wa kusali tuwapo safarini...
 
Back
Top Bottom