- Thread starter
- #41
sister, just imagine tukio kama hilo kwanini usimshukuru Mungu
Hii ya kuepusha ajali ni la kweli....kuna siku tulikuwa tunasafiri tuko kwenye gari dogo...wasichana watatu...mwanaume mmoja pamoja na dereva.....tulikuwa tunaenda kijiji kimoja kinaitwa duthumi...morogoro uko...
Sasa nikawa nasali rozali nimemaliza...nikapitiwa na usingizi gafla nikawa nawaza nasema Yesu Yesu...ah kushtuka gari linayumba....linatupeleka nje ya barabara....ah nilitaja jina la Yesu mfululizo gafla gari likageuka tunapotoka....
Kiukweli tulikuwa tunaenda kubingirika sijui mara ngapi...kiukweli jina la Yesu lina nguvu...na kusali kunaepusha ajali nyingi sana....tuwe na utamaduni wa kusali tuwapo safarini...