The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
Hahahaha haswaa,haiwezekani umtunze binti yako ,matibabu na huduma kama zote afu aje at.ombwe na liuza mkaa,ama lichovu flan ni kuharibu kizazi na ukoo hahahahah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na hili ni fundisho hata kwa sisi binadamu mwanamke mwenye matunzo hatakiwi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume wa hovyo hovyo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]