Tumpe sumu paka wa jirani?

Tumpe sumu paka wa jirani?

Sio kweli.

Kwema kabisa mkuu, hofu kwako.
Mimi naamini hivyo na hata siku ikitokea nikachapiwa sitashangaa...
Huku salama mkuu. Kawe na siku njema leo na yote unayoyatamani maishani mwako yakaanze kudhihirika.
 
Hapo ndipo utapodata na viumbe vya kike, wewe mhudumie vyema mwanao mwisho wa siku anakutana na kamchizi hakana lolote kiumiliki ila kanamiliki akili na mawazo ya kushiba na mwanenu anakaa anatulia tuliii, nyie ndugu na wazazi kutwa kumbwatukia
 
Back
Top Bottom