Anamgegeda anamlisha yeye? Nampa sumu akafie mbali hukoUtampanda wewe au???Yani wivu mpaka kwa pakaaa
Sasa tumfanyeje?
Unadhani paka ni panya nin?
Wanafuata matunzo hayo.... Unahudumia afu mwamba anapiga free dadek.
Aah aah aah
na hili ni fundisho hata kwa sisi binadamu mwanamke mwenye matunzo hatakiwi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume wa hovyo hovyo
![]()
Acheni huyo paka atombwee tu.
Weka kikao na paka wote. wakiwepo mya solve
Anamgegeda anamlisha yeye? Nampa sumu akafie mbali huko

, hii ni sawa na muke ya mtu...Mhudumiaji mwingine ila vitonga wanamega kisela.Nabebanaje na mpaka ? Jirani akinikamata je?Nenda kamtelekeze sehemu kama feri -hospital au karibu na hotel's. ...apate kuishi katika mazingira hayo '' ni sehemu rafiki kabisa kwao atakuwa anajipatia cha kula cha bure. ..kuliko kutaka kumpatia hukumu nzito kiasi hicho
unakaribisha povu



watajijua wenyewe wanaochukulia kila kitu serious mimi simo



Inauma eeh, hii ni sawa na muke ya mtu...Mhudumiaji mwingine ila vitonga wanamega kisela.
Mbona mimi sigegedwi?Utampanda wewe au???Yani wivu mpaka kwa pakaaa
Si kidogoInauma eeh
Aaha miss wew...jana tu ukute umekunjwaaa!! Au ndo maana unaona wivu paka anafaidiMbona mimi sigegedwi?



Hapa mkuu ndo atamjua paka vizuri,Nenda kamtelekeze sehemu kama feri -hospital au karibu na hotel's. ...apate kuishi katika mazingira hayo '' ni sehemu rafiki kabisa kwao atakuwa anajipatia cha kula cha bure. ..kuliko kutaka kumpatia hukumu nzito kiasi hicho
AhahaaaaHapa mkuu ndo atamjua paka vizuri,
Wakati anarejea nyumbani kutoka huko alikomtelekeza anaweza kumkuta yeye kashafika nyumbani masaa mawili kabla yake.
Mkuu acha wivu, sasa asipopigwa mbu.pu na paka wa jirani je nyie mnao uwezo wa kumtimizia haja zake za mwili?Nyumbani tuna paka jike.
Kwa vile tuna watoto wadogo na wanapenda kumchezea tukaona isiwe mbaya tumgharamie kumpeleka vet clinic kwa check up,kumkata kucha ,madawa etc
Tatizo ni kwamba anashiriki kimwili na paka wa jirani ambae yeye Hana matuzo kwaiyo anamuweka paka wetu kwenye risk hence watoto!
Je tumpe sumu afe?














