Tumpe sumu paka wa jirani?

Sasa Kati ya wanaume na wanawake nan anataka haki Sawa??

Kwa sababu mnataka haki Sawa Basi tunawaachia na majukumu yetu tuliyo kuwa tunafanya ili tufanye wote!!

Sasa hapo siwez kukuhudumia kama mwanzo kwa sababu ushaingilia nafas yng
Kila mtu apambane na hali yake

Mbona Mtanyooka tuu tulieni

Hamuoni na wanaume nao wanataka kuolewa kama ninyi
Kuvaa heren, kusuka raster
Mbona kitaeleweka tuu

Halafu Mlivo wengi hivi wanaume halisi tutabaki wachache Sana tukiendelea kuwatafuna wale wanawake wanaojielewa
Basi ndo mkiona wake zenu hawawaheshimu mtulie hivyo msilete ubabe maana mmeyataka wenyewe mnajifanya hamjui kwamba haki sawa imetokana na baadhi ya wanaume kunyanyasa wake zao kwa sababu wanajua wake zao wanategemea wao kwa kila kitu na hawana pa kwenda

Na ndipo wanawake wakaona isiwe shida acha na wao waanze kujitafutia sasa tumeanza kujitafutia pesa bado mnalalamika tena kwahiyo mlitakaje? Laiti kama mngekuwa mnahudumia wake zenu bila manyanyaso hakuna mwanamke ambaye angetaka kujitafutia pesa zake mwenyewe
 
Nan anataka kuoa mtu Kama ww gume gume

Usiye jua dhaman ya mwanaume?
Siyo kila mwanaume anastahili kupewa thamani wewe mimi kuliko kuolewa na mwanaume kama wewe usiyejua majukumu yako ni bora nikaolewe na mnyama porini maana nikiolewa na wewe ni sawa na nimeolewa na mwanamke mwenzangu tu

Eti sijui thamani ya mwanaume na msipobadilika mtaendelea kutuona wanawake wabaya mnaumizwa sana na huu mfumo ndo maana mnalalamika mngekuwa hamuumizwi msingekuwa mnalalamika kama hamuumizwi si mpige kimya muendelee kufanya yenu?
 
Pambaneni na hali zenu Nipo hapa Denmark nakula maisha tuu Pumbavu kabsaa

Sikat stress za kipumbavu kama zako

Nlizaliwa pekee yangu ntakufa pekee yang

Mavi yenu!!!!
 
Wewe si kila siku huwa unatafuta wewe? Vipi na wewe ukienda kushiriki huko halafu wakakuua?
 
Pambaneni na hali zenu Nipo hapa Denmark nakula maisha tuu Pumbavu kabsaa

Sikat stress za kipumbavu kama zako

Nlizaliwa pekee yangu ntakufa pekee yang

Mavi yenu!!!!
Hahahaha mbona umepanic mkuu huu mchezo hauhitaji hasira sasa kama uko Denmark ya wanaume wa Dar yanakuhusu nini? Pambana huko upate mwanamke wa kizungu ili muitekeleze hiyo 50/50 vizuri pesa mtafute wote na kazi za ndani mfanye wote shubaaamit
 
Sina muda wa kuoa headache Mimi
Nmesoma kwa shida Sana nakula maisha yangu taratibu huku ughaibuni

Sikat stress za wajinga nliowakuta ulimwenguni kila mtu apambane na hali yake

Nmekata na Bima ya mazishi kabsaa sitaki kusumbua kiumbe wa mtu

Hela ya kugharamia mazishi yangu, Usafir kila kitu kipo clear hadi ya kukulipa ww uje unichukue huku ipo

Bado Nipo kijana kabsaa 33yrs Ndiyo maisha nimechagua hayo

Tena Nipo Happy kabsaa

Kila la kher wasalimie tz!!!
 
Sasa kumbe wewe mwenyewe ndoa hauiwezi ndo maana umeikimbia hahahaha kweli nimeamini kuoa siyo kwa ajili ya kila mtu ni kwa ajili ya wanaume tu na siyo wavulana kama wewe

Endelea kula hizo bata uchwara zako na ulimbukeni wako huo eti kuishi Denmark unaona ni kitu cha ajabu kwa Tanzania hadi unajitangaza wakati kuna watanzania Passport zao zimechafuka kwa Visa za kila nchi duniani na hawapigi makelele

Sema nikutumie ticket uje hapa Copenhagen capital city of Denmark
Nikulishe hadi utakapo amua kuondoka

Sishangai hata passport huna
Hilo ondoka Shaka nita process mwenyewe hadi upate uje uonje flavor ya Denmark
 
Back
Top Bottom