Tumetoka huku...

Tumetoka huku...

Duh! Mkuu huko mbali sana tena ni kina kirefu


Hahahaa hiyo ilikuwa 1978 White House kule Ubungo........

KING%2BKIK.jpg
 
Aisee!!!!!! Hapo hata wazazi walikuwa hawajui kama watanizaa
Mkuu humu kuna baba zetu,mama zetu,babu na bibi zetu kuna watu wamekula chumvi humu!
 

Unaipata hiyo..?

Daaah ! Mkuu umenikumbusha mbali sana kwa hiki kibao cha tamala.. ! Nakumbuka kipindi hicho miaka ya 2003-5 ndo kulikuwa na tradition ya vijana kujikusanya na kutengeneza camps ! So tunachangishana na kufanya party (wenyewe wanaita kuzindua camp) hapo ataitwa mgeni rasmi usually anakuwa mwanasiasa and akishaondoka tu watu wanaanza kufanya shows ambapo camps majirani huleta wasanii wao na kutoa show maridadi (Mara nyingi walikuwa wanahip hop) then wakimaliza sasa ndo disco linaanza ambapo huwa kuanzia saa sita hivi, nyimbo hii ya tamala ilikuwa inapigwa kuanzia mida ya saa nane na nusu mpaka saa kumi kasoro.. ! Na ule mdundo (beat) wake ulikuwa ukireflect muda kabisa... ! Yaani ilikuwa ni full kujiachia na warembo wa uswazi !

Na kwa beat ya hii nyimbo, mika mwamba anazidi kunionyesha kuwa yeye ni the best beat maker.. !
 
Back
Top Bottom