MulegiJr
Senior Member
- Sep 5, 2018
- 126
- 88
Imekuwa ni kawaida Watanzania especially wenye mishe mishe mjini kutafuta Huduma za kibingwa siku ya Jumamosi, ila Kitengo cha Macho cha Bugando ni moja ya kitengo chenye Huduma mbovu kuliko kitengo chochote.
Leo ni wiki ya pili nampeleka ndugu yangu ila Dkt. Anatakiwa kuingia Saa mbili imagine hadi saa tano hajaonekana na watu tumetoka Mbali tunatakiwa kupata matibabu turudi au tufanye namna nyigine ya kutumiwa gharama za kujikimu, kitengo hiki kinahitaji mabadiliko makubwa ya Tabia.