idiomer
Senior Member
- Aug 15, 2012
- 179
- 203
Kilimo hakuna sasa tunaagiza mchele, sukari, samaki, matunda pia
Licha kuwa tuna mashamba mengi sanaa na ardhi nzuri. Mradi kama BBT haieleweki tenaa mwenyewe yupo na ng'ombe kwa chief mirambo
Siasa safi hakuna sasa kuna siasa chafu. Matusi, Kupigwa, siasa imekuwa uadui yaani tumetoka kabisa kwenye misingi.
Baba hata azimio la Arusha limekua tofauti sasa mtu mmoja anamiliki gari la bilion 1 ila wananchi hawana maji safi. Barua kwenda kuzimu