Duhh, una kumbukumbu nzuri sana. Yaani hadi leo unakumbuka nyimbo walizotumia kukumbembeleza ili unywe uji!Uu wimbo nakumbuka nilikua nanyweshwa uji. . .
Hadi sa ivi bado mzuri
Old is gold asee
Iyo collabo daaah ilikuwa hatari sana kali sanaHivi Mr blue akimuomba mama Mengi warudie ile collabo yao ya kipindi kileeee. Hatamkubalia kweli ?
Kwani leo haitesiDah...kipindi hiko EATV tv ya vijana ndo inatesa balaa