Tumeruhusiwa kuandamana ila CCM hawana amani, tahadhari iwepo! Soma hapa

Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote.

Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi, tahadhari zichukuliwe, wasije wakapandikizwa Watu wabaya, wakafanya Mambo Mabaya, zigo likadondoshewa CHADEMA.

IKIWEZEKANA tuwe na Drones na ziwe linked na online devices kwa ajili ya storage, hujuma huenda zikatokea baada ya maandamano ili wasiweze kudhibitiwa. Ni Hilo Tu MUNGU ibariki CHADEMA, MUNGU ibariki Tanzania
Sahihi kabisa.

CCM ni kama.magaidi vile
 
mlosema wakati wa ban ya mikutano ya hadhara mnarudia tena kuhusu maandamano.....

friends,
siasa ni sayansi songa mbele ukipata fursa,

geuka yenu nyuma itawaangamiza kisiasa,

na kujistukia kwenu kunawachelewesha sana kupiga hatua. be focused, bold, committed and not confused....
👉🌈🥱
 
Kwa hiyo kuna watu wazima kabisa wanajua huo ni utashi wa Muliro?
Jibu ni hapana, sio utashi wake.
=
1706078744157.png
 
Mlitaka mikutano mkakubaliwa , meomba mandamano mmekubaliwa sasa tunasubiliaa muombe kwende ziara na mama ulaya
Ziara hatuna haja ya kuomba. Lissu sio tu amefanya ziara, bali ameishi Ulaya na wala hakuhitaji kuomba
 
Back
Top Bottom