Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

Kuna watu wajinga wajingz wakisema Sugu analindwa na Uhuru na Haki ya Bunge, wajitokeze kumsaidia huyu baunsa akiwa mikononi mwa Polisi


Mkuu salama!

Hivi kunawajinga zaid ya Kikwete, kigwangala na wengineo ndani ya ccm?


Kikwete majina ya wauza unga ninayo anafanya nini namajina hayo...???

Kikwete majina ya wezi wa EPA ninayo lakini warudishe....... Wezi wa fedha za umma!!! mbona wezi wa kuku wanafungwa?

Kikwete siku 90 tutajivua magamba ndo kwanza yamekwamia kifuani.....hivi ni miaka mingapi imepita.....

Hebu tusaidie kati ya mbilinyi na hao jamaa ujinga upi unafadhali na kwanini??
 
Hivi Dr. SLaa wakati anapiga kampeni Mbeya na kusema kwamba Sugu atakuwa Waziri wa Afya iwapo atashinda Urais alikuwa hamjui Sugu vizuri au alikuwa anawalaghai watu wa mbeya kama kawaida yake?

Wacha upuuzi na ujinga ww kijana,,,,anawalaghai w2 kivipi, bila kumuota Dr ws hupati usingzi.
 
Hivi Dr. SLaa wakati anapiga kampeni Mbeya na kusema kwamba Sugu atakuwa Waziri wa Afya iwapo atashinda Urais alikuwa hamjui Sugu vizuri au alikuwa anawalaghai watu wa mbeya kama kawaida yake?
Afya inahitaji mtetezi wa aina ya sugu na sio kina yakhe kama mwinyi
 
Wabunge wa CHADEMA mnatumia akili sana katika kufanya harakati zenu. Kwa hili la kwenda Polisi mwenyewe mmetumia busara kubwa sana kwa kuwa:
1/Mmeepusha habari za mitaani kuwa Sugu anatafutwa na Polisi.

2/Mmepunguza bughudha za kufuatiliwa na Polisi popote mlipo kwa kisa cha ''Kutafutwa kwa sugu''

3/Mmewawahi polisi kabla hawajapewa 'Amri zingine' kutoka juu za kuwakandamiza.

4/Mmeondoa hatari ya kudhuliwa na Jeshi la Polisi kwa kisingizio cha kuwa ''Tulibidi kutumia nguvu kubwa kumkamata Sugu kwa kuwa alikuwa analindwa na wafuasi wake!''
 
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
....wewe ndio mjinga sana coz hujitambui... unakurupuka tuu kuvunja vifaa vya bunge na kusafirisha twiga njee, mikataba mibovu ya madini, kun'goa meno watu kipi ni bora?....acha kuonesha upumbavu wako hapa!!!!Huwa siyapendiii majitu kama ninyiiii kabisaa
 
Acha uhuni wa nzi kuvaa koti bila chupi wala kaptula!

Nasari na wahuni wenzako, mnapaswa kushughulikiwa na dola. Wajinga sana nyie, hii nchi ni yetu sote sio mnakula kodi zetu halafu mnafanya utoto bungeni
 
QUOTE=LESIRIAMU;7258283]Tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu,
Hivi Mh Nasari, hata kama Mh Sugu angemvunja huyo policcm meno yote ya mbele, si kwamba Mh Sugu alikuwa kwenye eneo la kinga ya kibunge? Naomba muongozo
Mwongozo unapatikana kwenye kifungu iki kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977
100.-(1) Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika Mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge.
(2) Bila ya kuahiri Katiba hii au masharti ya sheria nyingine yoyote inayohusika, Mbunge yeyote hatashtakiwa au kufunguliwa shauri la madai mahakamani kutokana na jambo lolote alilolisema au kulifanya ndani ya Bunge au alilolileta Bungeni kwa njia ya maombi, muswada, hoja au vinginevyo. (Msisitizo ni wangu)[/QUOTE]
teh teh teh, mkuu hapo hamna kesi hapo! Kweli nchi yetu mapolis ni majanga!
 
Hivi bange inaruhusiwa kuvutwa bungeni? Hawa vijana wanalewa sifa za kijinga. Sisi wana mbeya tunamshangaa sana kijana mwenzetu kutafuna bange kama mboga. Ona sasa anavyofanya .....
 
Hivi Dr. SLaa wakati anapiga kampeni Mbeya na kusema kwamba Sugu atakuwa Waziri wa Afya iwapo atashinda Urais alikuwa hamjui Sugu vizuri au alikuwa anawalaghai watu wa mbeya kama kawaida yake?
mkuu kwa hiyo umeamua kuwatukana watu wa mbeya? Sugu kupigwa na askari ni sawa?
 
Wajinga ndiyo waliwao haka kakundi baada ya kukaa na kutengeneza bajeti ya jinsi ya kuchota hela ya chama kwa kisingizio cha kumtetea Sugu Mahakamani ndiyo wameenda kuripoti Polisi.

LISU MSANII WA KIMATAIFA
na ndugai ni msanii wa kibunge, tii teh teh!
 
Hongera sana Sugu jana ulikuwa shujaa
 
Hivi bange inaruhusiwa kuvutwa bungeni? Hawa vijana wanalewa sifa za kijinga. Sisi wana mbeya tunamshangaa sana kijana mwenzetu kutafuna bange kama mboga. Ona sasa anavyofanya .....
nyinyi wana mbeya mlikaa lini kumshangaa huyo sugu? Wacha uongo wewe!
 
Mungu ni mkuu. Ubaya na uongo hauwezi kuishinda kweli. CDM has my all support.
 
Kweli wapinzani wanaonewa! Sasa watanzania tunayo kazi moja tu, kuiondoa ccm kwa namna yeyote, vinginevyo hali itakuwa mbaya zaidi!
 
Hekima itumike maana polisi ni wa tz bunge la tz mbunge ni mtz sheria ni za tz tutii utaratibu kuokoa amani yetu.tz ni nchi yetu sote polisi watekeleze wajibu wao kama sheria inavyowaongoza pia mbunge atekeleze wajibu wake.
 
Back
Top Bottom