Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

Cheap tanzania politicians in jf. hamna cha maana mnachowafanyia watz zaidi ya mipasho kama hii. wenzenu wanadiscuss serious issues nyie mnaleta siasa za katika mitandao ya kijamii za kina MBWA KACHOKA,JINAMIZI,BLACKY
Tumia akil tahira wew,jana baada ya chadema mlikuwa mnadiscuss nin bungeni kama sio umbea...
 
Kipigo na kudhalilishwa afanyiwe yeye polisi apelekwe yeye,majangaa,majaangaaa..
 
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari

Ni uhuni mkubwa zaidi kwa wale wanao inajisi IKULU ya wananchi!!!?...... Microphone ya Bunge ni nini bwana weee??
 
Tena natamani huyo askari angetwangwa ya ukweli kabisa. Au wangemuwahi ndugai mwenyewe na konde moja zito hadi azimie angalau kwa masaa 3.
Peopless.
 
Sugu tupo pamoja! Mkakati ni ngumi tu hata ndani ya Bunge maana hatutaki busara mbuzi mbele ya maslahi ya watanzania.
 
Mh Joshua Nasari umesema utatupa update mbona kimya kamanda hadi saa hii au na wewe umewekwa ndani?
 
Last edited by a moderator:
Sugu tupo pamoja! Mkakati ni ngumi tu hata ndani ya Bunge maana hatutaki busara mbuzi mbele ya maslahi ya watanzania.


Maslahi ya watanzania na Tanzania Kwanza mengine badaye.

Nimekukubali mkuu.
 
Back
Top Bottom