Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,516
- 272,220
kila kheri kamanda .
hiyo sheria haitafanya kazi, labda sio tundu lissu kama wakili...Akiahirisha bunge jioni hii Ndugai ameonesha kuwa kwa kitendo alichofanya Sugu hakina kinga na kqa sababu hiyo sheria itachukua mkondo wake. Alishangiliwa sana na wapambe wake. Mary Nagu amemsifia sana kwakuendesha bunge kishujaa na kwa ufanisi mkubwa.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.
Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.
Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.
Tutawajulisha kitakachojiri
Lakini askari kumpiga mbunge bungeni ni haki akili zingine hata ndungai afadhari!Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
Tatizo watanzania tumekosa kujitambua, na siku zote penye haki ya kufanya changes katika nchi yatubidi tuungane pamoja, kazi waifanyayo vyama vya siasa kuibadili nchi ni kubwa mno, hebu tuwape sapoti na si kuwatukana matusi tu, huu ni muda wa kuondoa mfumo wa chama kimoja!
ukombozi wa vichaa sio wenye nazi,mbunge unamrikia kichwa polisi ndo ukombozi mliowatuma nyambafuuuuu
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
kama mimi ulivyonichosha uhuni wa Ndugai!mimi binafsi UHUNI wa CHADEMA umenichosha
Kuna watu wajinga wajingz wakisema Sugu analindwa na Uhuru na Haki ya Bunge, wajitokeze kumsaidia huyu baunsa akiwa mikononi mwa PolisiBaada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.
Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.
Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.
Tutawajulisha kitakachojiri