Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

Na huu ndio usenge mnaoleta mpaka bungeni huwa hamtaki kujibu hoja. Jibu swali m@t@ko y@ko "Mimi nawashangaa sana na hizi account zenu za 2013 ambazo zina reply topic za chadema tu. Hivi kama kweli unaakili timamu na hujaruka hata darasa moja wala hujawahi kuugua kichaa, kati ya wabunge wa upinzani waliokuwa wakipigana na askari na wabunge waliokuwa wakishangilia vurugu nani aliekuwa akishabikia fujo na aibu zilizotokea bungeni kama unavyodai?. kama huna jubu basi mpuuzi namba moja na ambae hana la kufanya ni wewe na ukoo wako wote unaoshindwa kukufunza hekima na adabu ya kifikra" Usipojibu wewe ni kichaa kama ndungai wala usihangaike kureply sitakujibu
Kweli Msamiati umekosa kutumia misamiati ili kupunguza ukali wa maneno? ikiwa kuna watu hayo maneno uliyoyatumia kwao ni ya kawaida hadi kuyaandika hadharani ni dhahiri watu kama hao tukiwapa dhamana ya kutuwakilisha bungeni watakua ni vituko ndani ya bunge kama ambavyo baadhi ya wabunge walivyo sasa.
 
Last edited by a moderator:
Tuko pamoja Mkuu, Mungu ibariki Tanzania.

Mungu walaani mafisadi Na vibaraka wao
 
tupo pamoja makamanda;poleni sn mungu yupo na nyinyi ktk mapambano ya kudai haki.
 
Sasa naww unathibitisha upuuzi ulionao tena wauliza swal akat waona kabsa jins hao wala pesa za taifa paspo kuztolea jasho bure bure,ndo mlichowatuma kuwawakilisha hko?mie npo mbeya kmeniuma sana na kwahko alchokifanya huyu jamaaa naanzisha maandamano ya jimbo zima kulaaani utoto huu na bangi hiz,jiji lakn halina mwendelezo kwann?


Hakuna hoja mnazoweza kujibu ninyi viwavi wa ccm,ni matusi tu mnatukana na mnafuata zaidi mihemko yenu ya uchama mnauweka mbele kama tai lakini masuala ya msingi mmeyakanyaga na kuyasigina.
 
Kweli Msamiati umekosa kutumia misamiati ili kupunguza ukali wa maneno? ikiwa kuna watu hayo maneno uliyoyatumia kwao ni ya kawaida hadi kuyaandika hadharani ni dhahiri watu kama hao tukiwapa dhamana ya kutuwakilisha bungeni watakua ni vituko ndani ya bunge kama ambavyo baadhi ya wabunge walivyo sasa.
samahan jamani watu wengine wanakera
 
Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.

Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.

Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.

Tutawajulisha kitakachojiri

Ni saa tatu kasoro usiku, bado tuko polisi tangu saa kumi na moja kasoro.

Tuko pamoja makamanda.
 
Msijali makamanda hizo ndio njia za ukombozi. Hata wakati wa kusaka ukombozi wa kwanza walikuwepo vibaraka waliopinga harakati za ukombozi akiwemo Mzee Kikwete aliyekuwa askari wa Kikoloni. Tupo pamoja ktk harakati za kusaka ukombozi wa pili. Kila la kheri.
 
Hovyooooo mmejitakia!!!!!hatuhitaji kujua kitakachojiri mwache alale sero atajua nini maana ya kuwa raia mwema...
 
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari

...na ni uhuni na kinyume cha sheria askari kumpiga raia/mbunge;biasness!!
 
Kweli Msamiati umekosa kutumia misamiati ili kupunguza ukali wa maneno? ikiwa kuna watu hayo maneno uliyoyatumia kwao ni ya kawaida hadi kuyaandika hadharani ni dhahiri watu kama hao tukiwapa dhamana ya kutuwakilisha bungeni watakua ni vituko ndani ya bunge kama ambavyo baadhi ya wabunge walivyo sasa.

Asikuumize kichwa nshamPM,sina haja ya kubshana nayy hapa shabiki uchwara huyu,et Msamiati?hakuna ubongo hapo
 
Last edited by a moderator:
Shame on you RohoMbaya
sio kila amri ni halali
hata amri za kikandamizi ni halali?
unaona amri aliotoa naibu spika kwako ni amri halali?
Bunge lala sasa sio la chama kimoja la kuitikia kila kitu ndio ndioooooo
hapana kaka hili ni bunge la vyama vingi
inabidi baadhi ya sheria za kijinga zitenguliwe
Naibu spika mwenyewe anajua kachemka sana na kwa kuficha aibu akasema amewasamehe ili asijekupelekwa kamati ya maadili.
saa nawewe kama akili yako ndio imeishia hapo kufikiri SHAME ON YOU

Safi sana Dogo Janja. Jaribu kukaa naye umueleze kuna tofauti kubwa kati ya kuwa baa na bungeni. mambo ya kijinga haya ya kutumia nguvu za mwili awaachie wala msuba wengine. Pale ni sheria na taratibu tuu ndiyo zinafuatwa. Ni akili ya mlevi tu ndiyo inaweza kufikiri kwamba naibu spika kwa mamlaka yake katoa amri kwa wanausalama wa bunge kumtoa nje KUB halafu eti yeye anaweza kutengua amri hiyo kwa kutumia misuli yake. SHAME ON YOU SUGU!:bored:
 
Inawapa raha zaidi wanapoandikwa na media kuwa wamewashikilia viongozi wa chadema au wabunge wao.
upeo wao ndio umeishia hapo.
kwa jambo kama lile wanahojiwa saa zote hizo kunani?
wangekuwa inteligent wala maswali hayazidi kumi.
tatizo la polsi wa Tanzania kila mtu kwao ni mtuhumiwa na sio shahidi.

Polisi wanajisikia raha sana wanapowaona makamanda wa chadema wapo kituoni, hawataki kuwaachia waondoke..... Policcm na akili za mbayuwayu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wajinga ni Wale wanaounga mkono hoja kwa %,hata kama ni kandamizi kwa wananchi.shame on you too
 
Makamanda wote hatulali tunasubiria updates toka kwako Mh Nasari tuelewe nini magamba watamfanyia kamanda Wa mby
 
Ma ccm wote wana laana ya mizimu ya tembo mnao waua
 
Back
Top Bottom