ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Wahuni na mafisadi wanampago wa kuzima mtandao ili kufanya uchafuzi wao gizani, wameona kuwa mitandao itaeneza haraka mipango ya maandamano, kura fake, rushwa katika uchafuzi huo, na uonevu na matendo ya kinyama ya poliCCM dhidi ya raia Wema
Naona hawa wahuni na mafisadi wanajipalia Mkapa wenyewe, hii utatufanya hata sisi ambao hatuko interested na siasa kuona Nia Yao mbaya na kuamua kuandama
Athari za network shutdown
1. Kuuwa fursa za ajira na kipato
Vijana wanategemea mitandao ku post bidhaa Kwa wateja, na bidhaa sio zao, wao wanafanya tu freelancing
Ikizima mtandao unataka kuwauwa na njaa, na hii inaweza kuona hawana option zaidi ya kuandama
2 kuharibu mawasiliano
Yaani wahuni mpange kuwaweka Watanganyika gizani kisa ubinafsi wenu wa madaraka,
Hii itakuwa approach mbaya na mtaamsha hasira na kusababisha maandamano makubwa
3 hasara katika biashara
Biashara ndogo na za kati (SME) zinategemea mitandao kwa masoko, malipo mtandaoni, mawasiliano na wateja. Shutdown inazuia hesabu zao za siku za kawaida.
Ripoti zinaonyesha kwamba nchi zilizo na shutdowns zimepata hasara kubwa ya
4 Uzalishaji wa Taifa (GDP)
Kwa kila siku ya shutdown, nchi inaweza kupoteza asilimia fulani ya uzalishaji wao wa kila siku; ripoti zinaonyesha kwamba hata shutdown ya muda mfupi inaweza kupunguza uzalishaji.
5 network shutdown inasababisha ugumu wa wanafunzi kusoma na kupata maarifa
Mafisadi naona mnajichanganya vibaya mno