Ukokotoaji wa bei za mafuta yanayopokelewa bandari ya Dar es Salaam (mfano petrol/lita)

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,529
1. Total Cost (CIF to Dar Port) = 1162 Tshs/Lita.

Then, LOCAL COSTS PAYABLE TO OTHER AUTHORITIES.

2. Wharfage = 20.6 Tshs/Lita

3. Railway Development Levy (1.5% CIF) = 17.4 Tshs/Lita.

4. Customs Processing Fee = 4.8 Tshs/Lita

5. Weights & Measures (WMA) Fee = 1.0 Tshs/Lita

6. TBS Charge = 1.2 Tshs/Lita

7. TASAC Fee = 3.5 Tshs/Lita

8. EWURA Fee = 6.1 Tshs/Lita

9. Fuel Marking = 14.1 Tshs/Lita

10. Demurrage Costs = 5.5 Tshs/Lita

11. Surveyors Cost = 0.18 Tshs/Lita

12. Financing Cost = 11.6 Tshs/Lita

13. Evaporation Losses = 5.8 Tshs/Lita

14. Fuel Levy = 413. Tshs/Lita

15. Excise Duty = 379 Tshs/Lita

16. Petroleum Fee = 100 Tshs/Lita

17. Oil Marketing Companies Overheads & Margins = 123 Tshs/Lita

18. Charges Payable to Executive Agencies = 1.0 Tshs/Lita

19. Service Levy Payable to Local government authorities (Ushuru wa Halmashauri~ Wholesale) = 5.7 Tshs/Lita

Total Wholesale Price Cap = Tshs/Lita 2275.

Then
1. Retailers Margin = 108 Tshs/Lita

2. Charges payable to Executive Agencies = 5.44 Tshs/Lita

3. Transport Charges (Local) = 10 Tshs/Lita

4. Service Levy payable to Local government authorities (Retail) = 6.1 Tshs/Lita

Jumla kabisa bei ya rejareja vituoni = 2405 Tshs/Lita..

Hizi ziko ndani ya uwezo wetu na sio huko duniani...

Kama kupunguzwa ipunguzwe tuu
Vita ya Putin isiwe kisingizio

Sent as received!
 
IMG-20220504-WA0272.jpg
 
Hata mafuta yapande kwa kiasi gani, mfanyabiashara anaendelea kula TZS108 take kwa lita. Profit margin yake haishuki. Na wenye mapato yao nao wanachukua kiwango kile kile. Mtumiaji wa mwisho ndo anayebeba mzigo wote wa kupanda kwa bei.
 
1. Total Cost (CIF to Dar Port) = 1162 Tshs/Lita.

Then, LOCAL COSTS PAYABLE TO OTHER AUTHORITIES.

2. Wharfage = 20.6 Tshs/Lita

3. Railway Development Levy (1.5% CIF) = 17.4 Tshs/Lita.

4. Customs Processing Fee = 4.8 Tshs/Lita

5. Weights & Measures (WMA) Fee = 1.0 Tshs/Lita

6. TBS Charge = 1.2 Tshs/Lita

7. TASAC Fee = 3.5 Tshs/Lita

8. EWURA Fee = 6.1 Tshs/Lita

9. Fuel Marking = 14.1 Tshs/Lita

10. Demurrage Costs = 5.5 Tshs/Lita

11. Surveyors Cost = 0.18 Tshs/Lita

12. Financing Cost = 11.6 Tshs/Lita

13. Evaporation Losses = 5.8 Tshs/Lita

14. Fuel Levy = 413. Tshs/Lita

15. Excise Duty = 379 Tshs/Lita

16. Petroleum Fee = 100 Tshs/Lita

17. Oil Marketing Companies Overheads & Margins = 123 Tshs/Lita

18. Charges Payable to Executive Agencies = 1.0 Tshs/Lita

19. Service Levy Payable to Local government authorities (Ushuru wa Halmashauri~ Wholesale) = 5.7 Tshs/Lita

Total Wholesale Price Cap = Tshs/Lita 2275.

Then
1. Retailers Margin = 108 Tshs/Lita

2. Charges payable to Executive Agencies = 5.44 Tshs/Lita

3. Transport Charges (Local) = 10 Tshs/Lita

4. Service Levy payable to Local government authorities (Retail) = 6.1 Tshs/Lita

Jumla kabisa bei ya rejareja vituoni = 2405 Tshs/Lita..

Hizi ziko ndani ya uwezo wetu na sio huko duniani...

Kama kupunguzwa ipunguzwe tuu
Vita ya Putin isiwe kisingizio

Sent as received!
Mzee umeanza uongo sasa,hiyo gharama ya kufikisha mafuta Dar port ya 1162 ni ya kabla bei haijapanda Duniani .

Leta bei mpya ya Sasa ndio huo ukokotoaji uanze.
 
Nchi za wenzetu zilianza kupata maendeleo binafsi baada ya kukutana na vikwazo kama hivi...

Nyakati ngumu kama hizi ndipo revolutions za kimaendeleo hupaswa kutokea, watu kuvumbua njia mbadala za kukabiliana na matatizo...

Uvumbuzi wa noshahi mbadala, vyanzo tofauti vya fuels, uimarishaji wa usafiri wa umma ili kupunguza matumizi ya gari binafsi...
 
Mzee umeanza uongo sasa,hiyo gharama ya kufikisha mafuta Dar port ya 1162 ni ya kabla bei haijapanda Duniani .

Leta bei mpya ya Sasa ndio huo ukokotoaji uanze.
Iweke hapa kila mtu aione.. Kuniita muongo hakutaondoa ukweli wala kubadili chochote kwenye hii mada.. By the way makato ni standard hayabadiliki %
 
Back
Top Bottom