gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
kuna balozi mmoja wa ccm amefika nyumbani kwangu akaniambia wao ndio wanaotakiwa kuandikisha watu wao maana kila balosi anafahamu watu wake, yaani watu wasisumbuke kwenda kujiandikisha wataandikishwa na mabalozi wao