Tume yaahirisha uandikishaji Arusha

Tume yaahirisha uandikishaji Arusha

Nikiona na magazeti yameandika kesho, nitajua ni kweli kwani sikuona TV zikitangaza usiku huu!!
 
kama walisahau wakapasua kichwa badala ya goti unashangaa nini kwa hili
 
Taarifa zinasema uandikishwaji wapi gakura umesitishwa Tanzania nzima kuanzia kesho.Taarifa hizo zimedika jioni hii hapa arusha,na sababu zilizotolewa ni kuwa.WINOCARDRIBONVIMESAHAULIKA CHINA.Hwajasema zoezi hilo litaanza lini tena.
Huyu Nayee......
 
Mimi nimeshajiandaa kesho lazima nkajiandike kutimiza wajibu wangu.
 
Mimi nimeshajiandaa kesho lazima nkajiandike kutimiza wajibu wangu.
Huyo mtoa taarifa akili zake zimepungua, taarifa yake ni ya uongo na yeye sio msemaji wa NEc, wewe nenda utahudumiwa na kama kuna tataizo wao nec watatoa taarifa na sio mijitu ilotumwa kuja kudanganya watu, na wewe Emma kwenu sio Arusha sasa iweje udanganye watu humu ndani kuwa wewe umejiandaa kwenda kutimiza wajibu wako au ndo wale wale wachumia matumbo mnaoganga njaa kwa vijicent vya Ukawa?! Hahahaha utatumika sana mwaka huu kama mfagio wa chooni
 
Kuna tetesi stationary zimesahaulika China siyo Dar. Maana ingekuwa Dar si kuna chopa na uaafiri mwingine?! Kazi sensitive kuqapa wastaafu ni janga.
Acha kuskiza maneno ya watu wewe, taarifa hiyo sio ya kweli, imepikwa hiyo stationery haziwezi kuachwa china, huo ni uzushi
 
Unastahili kupigwa ban ya mwaka kwa uongo huu. Kwani unadhani bado tupo kwenye enzi za ribbon na wino? Sasa hivi ni BVR. Kama hujui kitu kaa kimya

he!! mkuu hujui BVR Zinatumia wino na vifaa hivyo? bila hivyo hakuna kazi
 
Taarifa zinasema uandikishwaji wapi gakura umesitishwa Tanzania nzima kuanzia kesho.

Taarifa hizo zimedika jioni hii hapa arusha,na sababu zilizotolewa ni kuwa.

WINO
CARD
RIBON

VIMESAHAULIKA CHINA.

Hwajasema zoezi hilo litaanza lini tena.
Huo uandikishwaji wa BVR imeonekana kuwa feki.
Hata vijana wa vijijini wameuonyesha kuwa si lolote.
Kama kijana wa kule Kiwira ameweza ku compromise security ya system nzima na kujiandikisha mara mbili bila system ku note basi zoezi zima ni upuuzi mtupu.
 
Hivi JF kuna moderators siku hizi? Huyu mamsubirisha nini kumpiga ban ya mwaka mzima? Hawa ndio wanashusha hadhi ya JF.

Tiba
Mkuu Tiba uko sahihi. Kwanza wangeifuta kama ni ya uongo na pili mleta mada apigwe ban hadi uchaguzi uishe.
 
Last edited by a moderator:
Huyo mtoa taarifa akili zake zimepungua, taarifa yake ni ya uongo na yeye sio msemaji wa NEc, wewe nenda utahudumiwa na kama kuna tataizo wao nec watatoa taarifa na sio mijitu ilotumwa kuja kudanganya watu, na wewe Emma kwenu sio Arusha sasa iweje udanganye watu humu ndani kuwa wewe umejiandaa kwenda kutimiza wajibu wako au ndo wale wale wachumia matumbo mnaoganga njaa kwa vijicent vya Ukawa?! Hahahaha utatumika sana mwaka huu kama mfagio wa chooni
ficha ujinga wako kwa hiyo wewe ni mke wangu ambaye unajua mimi sipo arusha .mimi naishi arusha nafanya kazi arusha nimejiari mahousigirl watatu kama wewe usimdharau mtu usiyemjua .taarifa za kuarishwa kwa zoezi la uandikishaji limelipata diwani nanyaro sababu ni wino umeisha kwenye computer hii aibu kwa tume ya uchaguzi wa ccm .hata wakija usiku tutajiandikisha kwa wingi sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom