JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 499
mkuu tiba uko sahihi. Kwanza wangeifuta kama ni ya uongo na pili mleta mada apigwe ban hadi uchaguzi uishe.
Taarifa zinasema uandikishwaji wapi gakura umesitishwa Tanzania nzima kuanzia kesho.
Taarifa hizo zimedika jioni hii hapa arusha,na sababu zilizotolewa ni kuwa.
WINO
CARD
RIBON
VIMESAHAULIKA CHINA.
Hwajasema zoezi hilo litaanza lini tena.
Ana rambo huyo mkuu. Litakupwerepweta bure! Achana naye kabisa
wewe itakuwa njaa inakusumbua ndo mana hao ukawa wamekutuma uweke huo uongo wako kwa lengo la kuchafua hali ya hewa, ushindwe na ulegee mwehu wewe!
Unauhakika kuwa sio yeye.??Acha uongo wewe mchumia tumbo! Wewe ulikuwepo au wewe ndo msemaji wa NEC? Wao wana msemaji wao na sio wewe, acha kupotosha umma
bvr inatumia vitu hivyo, na pia mkoani mara ilikua waanze kesho ila mpaka jion hii baadhi ya vifaa vilikua havijafika kwa baadhi ya maeneo,japo na semina wameishapewa,hii imepelekea waandikishaji kuahirisha kwenda huku vituoni kwa siku ya leo hadi kesho.
Source:mwananchi aliyeko huko.
Japo sijasikia hilo tangazo la usitishwaji nchi nzima.
haya mambo ya kuigaiga bila kutafakari ni hatari sana , kwa mfano ikithibitika kwamba jambo hili ni kweli , kwanini wote mliompinga na kumtukana mleta uzi msile ban ya miezi mitatu ?
Mara, arusha, moshi etc si ndio tanzania nzima subiria taarifa kutoka mikoa mingine
kweli japokua ingekua vema kama pia wengi wetu tungesikia ama kuona taarifa toka kwa kiongozi mmojawapo anaehusika na zoez zima....kama mh.jaji lubuva.