Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,443
Mzee Mtei, siamini kama ni wewe ndio umeandika hii thread au mjukuu wako anatumia ID yako..
Zanzibar ni nchi kamili sio sehemu ya Tanganyika halafu umenisikitisha kuonyesha udini wako kwenye hiyo orodha.
Ebu toa maoni yako ulikuwa unataka hiyo tume iwe na muundo gani kuliko kukosoa tu.
Udogo wa Zanzibar haiwakoseshi haki ya kuwa nchi kamili.
Jibu zuri pamoja na kwamba umechukuwa muda kujibu, kama tunatafuta katiba ya Tanzania, mimi naongea kama mtanzania kuwa tume yetu imejaa waislam wengi.Tunatafuta katiba ya Tanzania.Mie naongea kama Mtazania bara kuwa tume yetu imejaa Wakirsto wengi.
Feedback,Udini umeanzishwa na Kikwete mwenyewe anataka kuturithisha kupitia katiba kitu ambacho nafikiri hatoweza ni sawa na kuchezea kiberiti karibu na pipa la petrol.
Wengi wanaopingana naye si watu walioko "free minded" chunguza utaona huwa wana mwelekeo gani.Hakuna sababu ya kukwepa ukweli kuwa hakuna hisia za kidini katika hiyo tume ya katiba!
Kupuuza kwa kujifanya kuwa ati udini umetutenga katika masuala ya msingi kwa miongo kadhaa ni upofu na kuipindisha kweli iliyo dhahiri, fanya utafiti rahisi tu hata hapa JF wale wanaojinasibu kama waislamu wamekuwa wakitetea viongozi kwa dini zao ni tofauti na upande wa pili, tumeshuhudia kina Mkapa & co. wakisulubishwa kwelikweli na watu wa dini zao tokana na makosa yao katika jamii!!
Mzee Mtei ana point, take it from me!! Otherwise lets wait and see 'zao' la tume hii ya katiba. Watu wengi wanaopingana na hoja za mzee huyu huenda hawataki kutafakari makusudi au wanaficha ukweli kupitia mwamvuli wa ubaguzi(udini, ukabila, jinsia et al) lakini kwa maslahi mapana ya taifa letu ni bora tufikiri nje ya bongo zetu.
Kasoro za tume hii ni nyingi sana ila baadhi kwa mtazamo wangu ni
Endapo tutapuuzia masuala haya ya kimsingi ni wazi kabisa katiba itayokuja itakuwa na mgogoro mkubwa na huenda hawhawa CCM wakaipigia chapio isipite kwa kutumia Udini huohuo sababu kwa namba hii tutegemee kuwa na mambo kama mahakama ya kadhi n. k
- tume ina taswira ya kidini
- taswira ya kichama
- haijazingatia ulali wa uwingi wa watu- this is not political warfare rather it is MATHS.
Matokeo ya tume hii hayatapita na watasema tuendelee na katiba ile ile ya zamani!!!
Ndio nakubali kuwa udini ulikuwepo tangu enzi za mwalimu lakini umekuja kuwa wazi zaidi wakati wa Kikwete anauchekelea na anaupenda kwa vile wanamsifia, mbona wakati wa Mkapa haukuwa wazi namna hii?Feedback,
Mwalimu siyo kwamba alikuwa anazuia udini, ukimsoma vyema, utagunduwa alikuwa vitani kujaribu kuutokomeza.Udini ulikuwepo na bado upo.
Wana JF tusiwe kwenye "state of denial" , lazima tuingalie kwa makini kauli ya Mzee Mtei kuwa haikutakiwa kutolewa na mtu kama yeye kwanza akiwa ni mzee makini na pia muasisi wa CDM ambayo tunahangaika kutwa kucha kuitafutia uhalali katika maeneo yenye waislam wengi kwa vile hata tukichukua Nchi leo hatutaweza kuongoza kwa ufanisi bila kuungwa mkono na jamii pana ya ndugu zetu waislamu. Itakuwa jambo baya kama kila kitu tutadai kiwe sawa au wakristo wazidi, tunajua katika mfumo wa serikali kuna wakristo wengi sana mpaka baadhi ya ndugu zetu waislam wanaiita "christian bureaucracy" tafadhali tusifike mahala tukakiangalia kila kitu kwa mtazamo wa kidini kufanya hivyo unajipambanua kuwa wewe ni mdini bali tupime kwa vigezo vya weledi na uadilifu. Mwisho kauli ya Mtei ni kauli yake binafsi na wala si ya CDM!
Mkuu ritz, Mzee Mtei ametahadhalisha kitu ambacho ni mhimu kabisa kwamba udini unaolinyemelea taifa la TZ ni mhimu kuondokana nalo kwa kuziba ufa kuliko kukubali kujenga ukuta. Ritz mapovu yamekutoka humu kwa sababu za ajenda yenu ya kutaka serikali ya TZ ifungamane na dini ya Kiislam period! kwa kuanzia na Mahakama ya Kadhi, OIC, na baadaye mudai kwa nguvu taifa la TZ kuwa la kiislam. Bila kumung'unya maneno waislam hamtakuwa tayari kuwavumilia wakristo, kwa kuwanzishia vikundi vya mauji kama vile vya Bhoko Haram, Mjahideen, alkkaida alshababu; Hivyo kuanza kuwaua wakristo kwa kuwalipua kwa mabomu.
Note: Kwenye serikali za Kiislamu wakristo hunyongwa kwa kosa la kumhubiri Yesu tu. Nani awe tayari kuingia kwenye mtego wenu huu? Angalia kule Naigeria kikundi cha kiislam cha Bhokoharam wanavyowaua wakristo kwa kuwalipua kwa mabom bila kosa lolote.
Mzee Mtei, siamini kama ni wewe ndio umeandika hii thread au mjukuu wako anatumia ID yako..
Zanzibar ni nchi kamili sio sehemu ya Tanganyika halafu umenisikitisha kuonyesha udini wako kwenye hiyo orodha.
Ebu toa maoni yako ulikuwa unataka hiyo tume iwe na muundo gani kuliko kukosoa tu.
Udogo wa Zanzibar haiwakoseshi haki ya kuwa nchi kamili.
Ni kweli mi sioni cha kuficha hapo!!Wengi wanaopingana naye si watu walioko "free minded" chunguza utaona huwa wana mwelekeo gani.
Wengi wao wana hisia kali sana za kidini, yaani double standard balaa!