Tume ya mabadiliko ya katiba

Tume ya mabadiliko ya katiba

Hoja ya waislamu wengi haina mashiko.issue hapa ni Wazanzibar wengi. Wanamikoa sita sisi tuna 30 lakini tunakuwa na idadi sawa ya wajumbe, hii haijakaa vyema..
 
Muasis wa CHADEMA mzee MTEI,amesema kuwa tume ya katiba iliyoundwa hivi karibu na JK imejaa waislam wengi!
SOSI:JAMBOLEO

Huyu mzee alishafanikisha kuunda chama cha kanisa - akae kimya aache mbowe na padre waendeleze U Crussader
 
Mtei kapotoka au ni uzee. hakuna wa kumlaumu kwa sasa. wazenji asilimia kubwa sana kama si almost wote ni waislam. mkuu angefanyaje? sitetei hili. watu makini walitaka sheria ya uteuzi huu itengenezwe kwa umakini. hatukuwaunga mkono. na ndiyo matokeo yake. mimi ninaamini hakuna tatizo. nawaamini baadhi ya watu wengi kama dr. salim nk. hakutakuwa na tatizo hata kidogn.
 
Kumbe viongozi wa sasa wa chadema wamerithi udini. Siku zote nilikuwa nafikiri ni propaganda za CCM, kumbe kweli!
 
waislamu sio watu? Sio watanzania? Mbona na wao wasilalamike kuwa mawizarani na bungeni wakristo wengi? Hizi dini za kuletewa zisitugawe nilifikiri atalalamikia labda weledi wa hao wateuliwa analalamikia dini!????! What a pity
 
inabidi swala la uwakilishi katika ngazi zote za uongozi liwekwe kwenye katiba hii mpya. Zenji ina watu wasiozidi 2 million, iweje wapewe representation kubwa hivyo?
 
Hivi kiukweli z'bar hakuna wakristo. Maana serikali yote,bunge lote, tume ya katiba wote dini moja. Utasema hakuna cha kujadili hapa, acheni kufikiri kij....
 
duhh mzee nilikuwa namheshimu sana, kwa hili natafakari upya, kwani hiyo tume ni ya kutuswalishaa....? achunge maneno yake kwa umri na heshima alojijengea, hata kama anakerekwa ajaribu kujifichaficha, inamaana magamba wako sahihi, kuwa cdm ni chama cha udini.
 
Tusiyawazie haya wadau!

ni kweli kabisa kaka, watanzania tulio wengi tumekuwa matomaso na watu wa kupenda ligi, there is check and balance kabla katiba haijaanza kutumika, wasiwasi wa nini na watu tunajua kusoma?
waachen wafanye kazi
 
Kama kweli mzee huyu amesema hili, basi ni Mamluki wa Magamba, ametumwa aivuruge Chadema ionekane ni chama cha Udini kama inavodaiwa! Hakuna wa kumuamini hata mmoja kwenye hawa wazee walionzia ccm! Aombe radhi kwa kauli yake hii!
 
inabidi swala la uwakilishi katika ngazi zote za uongozi liwekwe kwenye katiba hii mpya. Zenji ina watu wasiozidi 2 million, iweje wapewe representation kubwa hivyo?

cause ni muungano wa equals.Kama Tanganyika ilivokuwa sovereign state ndivo ilivokuwa Zanzibar.
 
source jambo leo! toka lini ikawa inatumika kama source humu! acheni zenu na vipropaganda.
 
dah watu mnapenda udini!!!

yote haya ni huu umaskini tu unasababisha...ila kama kila mtu angekua mambo safi haya ya udini yangesikika!

mimi nnachoangalia ni ufanisi tu wa tume....
 
Wawe waislamu wengi au wachache si issue haina maana yoyote,tunachotaka ni katiba nzuri itakayokidhi mahitaji ya sasa. Haya mambo ya udini udini hayana maana kabisa.ni mawazo tu ni mtazamo msijenge chukiii
 
haituzuii kupata katiba mpya. ninachoona wazenji ni wengi wakati wanawakilisha watu wachache. anyway, tunajua kama haitakuwa nzuri, CDM tutatengeneza nyingine ndani ya mda mfupi itakayokuwa ya watanzania wengi

Mkuu una akili mgando. Haijalishi idadi ya watu. Tunaangalia haki sawa.
 
Please stop this "udini" nonsense!

Pasco
Udini umeanzishwa na Kikwete mwenyewe anataka kuturithisha kupitia katiba kitu ambacho nafikiri hatoweza ni sawa na kuchezea kiberiti karibu na pipa la petrol.
 
Back
Top Bottom