Tume ya mabadiliko ya katiba

Vile vile ukubwa wa Tanganyika hauikoseshi sifa ya kuwa nchi kamili na wala sio sehemu ya Zanzibar by whatever means you are trying to kill Tanganyika and christianity you will never succeed it is illogical for over 40 millions Tanganyikans to be represented by 15 and not more than 2million Zanzibaris to be represented by the same number of 15 and at the same time in the region where christians are more than 70 percent of the whole population to be overidden by the minority in the population.

Kwa mfano, kama wewe ndiye uliyekuwa na madaraka ya kuunda hiyo tume ungeteua watu gani? Una maana kuwa ungeteua watu kulingana na dini zao? Udini ndio kigezo? Kwa vile Wakristu ni wengi basi pia weteuliwe wengi kwenye tume? Unaweza kutupa mchanganuo wako jinsi ambavyo ungeteua hao watu ili kuepuka kuua Utanganyka na Ukristu unaousema?

Halafu nani kakwambia Wakristo ni wengi kuliko Waislamu? Hiyo 70% umeipata wapi?
 
Mie namuunga Mzee Mtei kuwa JK kafanya makosa; hakuna hata mjumbe mmoja toka mikoa ya Lindi na Mtwara; amejaza watu wa kanda ya ziwa na kaskazini hayo ni makosa makubwa.
 
Pia twapaswa tuelewe kuwa Zanzibar ni nchi kamili yenye watu madhubuti tena wameweka maslahi yao mbele. Kuna kila dalili ukiweka uwiano wa wajumbe toka pande mbili, wazanzibar watashindwa kwani ni mabingwa wa kujenga hoja na kutetea tofauti na watanganyika ambao hawana uthubutu wa kutetea maslahi yao
 
I think issue ya composition ya wajumbe toka zenj kuwa waislamu tu inatokana na uwepo wa waislamu wengi zenj na hapa JK hakuwa na choice zaidi ya kuchagua majina ya waislamu yaliyotumwa toka zenj...Kuhusu uwiano wa majina bara na zenj kuwa sawa...hili nalo linatokana na sheria ya kuunda katiba iliyopitishwa na bunge kutaka uwepo uwiano sawa wa wajumbe wa tume from both sides.....kwa hili nalo JK hakuwa na choice zaidi ya kufanya kama sheria inavyotaka. Kuhusu ni katiba gani inatakiwa kushughulikiwa na tume hii...nadhani ni katiba ya Jamhuri ya muungano wa TZ....itakayosimamia bara na zenj....

My take take on issues to be taken to the commission for discussion:


  • Umuhimu/uwezekano wa kuwa na katiba ya Tanganyika itakayosimamia maslahi ya Tanganyika kama ambavyo kuna katiba ya Zenj inayosimamia maslahi ya Zenj.
  • Umuhimu/uwezekano wa kuwepo kwa serikali ya Tanganyika kama jinsi ambavyo kuna serikali ya mapinduzi ya Zanzibar
  • Umuhimu wa kuwa na katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tz itakayosimamia maslahi ya pande zote mbili za muungano...Tanganyika na Zenj
  • Umuhimu wa kuwepo/kutokuwepo kwa muungano tulionao sasa
Haya yoote ni mambo ya msingi ya kujadiliwa wakati huu kwa mustakabali wa TZ..
 
  • Thanks
Reactions: EMT
We kweli huwajui wananzibar,
hujawahi kusikia viongozi wa serikali ya mapindizi ya zanzibar wakiunga mkono uvunjaji wa baa na uchomaji wa moto? uliza hadi sasa ni zaidi ya baa 50 zimeteketea na hakuna hata mtu mmoja aliye wekwa rumande, hawasemi kuwa ni uislam ila wanasema ni kinyume na mila na desturi za wazanzibar!
Sisi wazanzibar tunaamini kabisa wajumbe wa zanzibar lazima walinde UTAMADUNI WETU!
Uislam pia kama dini nyingine ni utamaduni.Huwezi kutofautisha hayo unapoizungumzia jamii fulani.
Katiba lazima ibalance mambo yanayohusiana na tamaduni za jamii husika.Na ningekuwa Rais ningeteuwa wajumbe wanaoreflect hizo facts.
 
Vile vile ukubwa wa Tanganyika hauikoseshi sifa ya kuwa nchi kamili na wala sio sehemu ya Zanzibar by whatever means you are trying to kill Tanganyika and christianity you will never succeed it is illogical for over 40 millions Tanganyikans to be represented by 15 and not more than 2million Zanzibaris to be represented by the same number of 15 and at the same time in the region where christians are more than 70 percent of the whole population to be overidden by the minority in the population.

Kweli mnadanganywa nani kakwambia wakristo 70% tanzania
hebu bofya hapa:

Muslim Population Statistics

Muslim Population in Africa

Demographics of Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia

BBC News | Africa | Tanzanian police break up Muslim protest

http://www.njas.helsinki.fi/pdf-files/vol3num1/lodhi.pdf
 
Mie namuunga Mzee Mtei kuwa JK kafanya makosa; hakuna hata mjumbe mmoja toka mikoa ya Lindi na Mtwara; amejaza watu wa kanda ya ziwa na kaskazini hayo ni makosa makubwa.

Nilijua tuu. Watu hapo juu walianza kwa Utanganyika na Uzanzibari, mara wakahamia kwenye udini, na wewe sasa umeenda kikanda. Baada ya kikanda tutasikia malalamiko kuwa hakuna watu wa kabila hili na lile.

Pia twapaswa tuelewe kuwa Zanzibar ni nchi kamili yenye watu madhubuti tena wameweka maslahi yao mbele. Kuna kila dalili ukiweka uwiano wa wajumbe toka pande mbili, wazanzibar watashindwa kwani ni mabingwa wa kujenga hoja na kutetea tofauti na watanganyika ambao hawana uthubutu wa kutetea maslahi yao

Hata hueleweki. Hata kama ni grammatical error, kwa hiyo kama Wazanzibari ni mabingwa wa kutetea hoja basi wawe wachache kwenye tume na Watanganyika wawe wengi kwa sababu hawana udhubutu wa kutetea maslahi yao?
 
I don't want to believe that Edwin Mtei can stoop this low and demonstrate his long held phobia against moslems. I would understand if he had issues with the intellectual pedigree of those who have been appointed to serve in the Commission. If what he alleges is true, then it means 50% of the members appointed from the mainland Tanzania are christians. Mzee Mtei knows that 99% of the Zanzibaris are moslems. How then did he expect to find christians in the Zanzibar's half of the Commission?

I would be delighted if Mzee had come up with a statement on the number of moslem MPs that his party appointed after the 2010 elections. We know that the number of christian MPs by far outstripped that of the moslem colleagues and he found it to be in good taste? Hypocrisy of the hughest order.

JF ikiwa na member kama wewe, na taifa likawa na watu wenye mawazo kama yako basi tutakuwa na maendeleo makubwa sana.
Mungu akubaliki!
 
Mzee Mtei,

Nasikitika kuwa busara zao zinaanza kupotea unapodai dai kuwa tume iwe na mchanganuo wa watu wa madhehebu mbali mbali kwa kigezo kuwa tanzania inawatu milioni 40 na zaidi wa madhehebu mbali mbali labda nikuulize maswali yafuatayo bwana mkubwa:-

a. Tanzania ni zao la nchi ngapi? Tuanze kukuuliza Tanzania imetokana na nini na je majirani zetu wa zanzibar nao tunaowaonaje? Ninavyoelewa na kufahamu mie ni kuwa Tanzania imetokana na Tanganyika na Zanzibar sasa kama basi ni hivyo then tume inayounda katiba ya tanzania lazima iwe na watu sawa kutoka nchi hizi mbili vyenginevyo tukubaliane ya kwamba zanzibar sio nchi!!!!

b. Pili tukijadili kuhusu dini katika Tume vile vile JK hakufanya sawa kwani mwenyekiti na makamu mwenyekiti wake wote wakristo. Joseph Sinde Warioba ni mkristo safi tunafahamu anasali pale kona ya kwenda masaki na Jaji Augustino Ramadhani ni mkristo muanglikana kule zanzibar. Nafasi za juu hizi zote wamekaa wakristo ambazo ni very powerful positions je WAISLAMU NAO WASEMEJE!!!!!!

c. Tatu, tukianza kujadili masuala ya dini katika tume labda nikuulize je hiyo diversity katika composition ya tume iko katika dini tu? Akinamama nao wasemeje? maana kuna wanaume wengi katika tume kuliko wanaume? Na katika tume sijaona magay na malesbian nao wasemeje? Je tutafika???? Tafakari.

d. Je tanzania ni nchi ya kidini? au secular society naomba majibu muheshimiwa sana


Binafsi umenisikitisha sana bwana Mtei nilikuwa nakuheshimu but naona busara zako zinakwenda sipo hasa katika ulimwengu wa sasa. Kama kigezo ni kupata watu makini na sio watu wa madhehebu fulani then nahisi tuipe nafasi hii tume ifanye kazi . Ikiwa hii tume ni kidini then tuambiane hapa wazi je Tanzania ni nchi madhehebu gani??? Tafakari.
 
Kila kibila litaka litoe mtu wake kwenye hiyo tume ya mabadiliko ya katiba.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mie namuunga Mzee Mtei kuwa JK kafanya makosa; hakuna hata mjumbe mmoja toka mikoa ya Lindi na Mtwara; amejaza watu wa kanda ya ziwa na kaskazini hayo ni makosa makubwa.

Kweli hayati Nyerere aliona mbali. Ukimbagua mtu kwa Dini yake kisha, utachagua kabila lake, then utacheki ni wa kanda gani, halafu utataka atoke kijijini kwenu. JAJI MSTAAFU WARIOBA KAZI UNAYO!, nina hamu kubwa ya kuona hatma ya huu unaoitwa muungano.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mimi nawashangaa sana masheikh wa Tanganyika mnaendekeza sana JK; kati ya wajumbe 15 waislamu wanne tu na viongozi wote wakuu ni wakristo tena fundementalists kama st. nyerere

Kuja haja ya kuunga mkono hoja ya mzee mtei Waislamu wa Tanganyika amkeni wakuu; Tanganyika siyo nchi ya kikristo bana??? kama ambavyo chadema na mtei wanataka kutuaminisha...hapa
 
Kwa wale wanaodai kulikuwa na udini kwenye wajumbe wa tume kutoka Tanganyika, ni kama vile hawaoni kuwa kwa kutumia msumeno huo huo upande wa pili pia unakukata, kwasababu sasa tunatafuta katiba ya Tanzania na wajumbe wa tume yake two thirds ni waislam, so this is a "counter point"
 
Mzee Mtei,
Upande wa Waislam umetumia majina kuwajua ulivyokuja upande wa pili unasema kuna Wakiristo na wengine hawana dini...ebu tutajie nani hana dini kwenye hiyo tume ya mabadiliko ya katiba.

Swali gumu sana hili na halina majibu.
Kweli sijiui kawajuaje kwamba waislamu walioteuliwa ni waislam kweli kweli ila baadhi ya wakristo hawana dini!
 
Mi nadhani kikwete aangeteua wajumbe 15 wa kuwakilisha mambo ya Tanzania bara, 15 kwa ajili ya Zanziba halafu wengine 16 kwa ajili ya mambo ya Muungano muungano tu that means 8 watoke zanzibar na wengine 8 watoke visiwani. Hapo tume ingekuwa imekamilika na mchakato ungeenda vizuri
 
Mimi nawashangaa sana masheikh wa Tanganyika mnaendekeza sana JK; kati ya wajumbe 15 waislamu wanne tu na viongozi wote wakuu ni wakristo tena fundementalists kama st. nyerere

Kuja haja ya kuunga mkono hoja ya mzee mtei Waislamu wa Tanganyika amkeni wakuu; Tanganyika siyo nchi ya kikristo bana??? kama ambavyo chadema na mtei wanataka kutuaminisha...hapa

Topical tulia kwa mujibu wa makubaliano na sheria inavyoelekeza kila pendekezo/kifungu kitapitishwa kwa kura, kwa hiyo hata wawepo mafundermentalist haitasaidia kwa kuwa majority ndio watakao ebuka washindi.
Na kwa wazanzibar kun kina Ally salleh huyu anajulikana na nilipost siku ya kwanza nilisema, huyu bwana ni mwandishi wa BBC msimamo wake ni mkali sana na haendeshwi, pia katika wajumbe toka zanzibar kuna wajunbe 7 wa CUF ambao wanajulikana hawayumbishwi na mtu.
so usiwe na wasiwasi hata kidogo.
 
Mzee Mtei, siamini kama ni wewe ndio umeandika hii thread au mjukuu wako anatumia ID yako..

Zanzibar ni nchi kamili sio sehemu ya Tanganyika halafu umenisikitisha kuonyesha udini wako kwenye hiyo orodha.

Ebu toa maoni yako ulikuwa unataka hiyo tume iwe na muundo gani kuliko kukosoa tu.
Udogo wa Zanzibar haiwakoseshi haki ya kuwa nchi kamili.

Mkuu ritz, Mzee Mtei ametahadhalisha kitu ambacho ni mhimu kabisa kwamba udini unaolinyemelea taifa la TZ ni mhimu kuondokana nalo kwa kuziba ufa kuliko kukubali kujenga ukuta. Ritz mapovu yamekutoka humu kwa sababu za ajenda yenu ya kutaka serikali ya TZ ifungamane na dini ya Kiislam period! kwa kuanzia na Mahakama ya Kadhi, OIC, na baadaye mudai kwa nguvu taifa la TZ kuwa la kiislam. Bila kumung'unya maneno waislam hamtakuwa tayari kuwavumilia wakristo, kwa kuwanzishia vikundi vya mauji kama vile vya Bhoko Haram, Mjahideen, alkkaida alshababu; Hivyo kuanza kuwaua wakristo kwa kuwalipua kwa mabomu.

Note: Kwenye serikali za Kiislamu wakristo hunyongwa kwa kosa la kumhubiri Yesu tu. Nani awe tayari kuingia kwenye mtego wenu huu? Angalia kule Naigeria kikundi cha kiislam cha Bhokoharam wanavyowaua wakristo kwa kuwalipua kwa mabom bila kosa lolote.
 
Kila kibila litaka litoe mtu wake kwenye hiyo tume ya mabadiliko ya katiba.

Mi kilichonishangaza hamna jina hata moja toka kwenye ukoo wetu hata jina linalofanana kutoka kabila letu...
 
Back
Top Bottom