Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,097
- 18,466
Anzisheni chadema TV mtangaze mambo ya maana, ni aibu kulalamikia TV zisizowahusu.Aibu kubwa sana !
Aibu kubwa sana!
Anzisheni chadema TV mtangaze mambo ya maana, ni aibu kulalamikia TV zisizowahusu.Aibu kubwa sana !
Duh...!, nadhani, elimu niliotoa hapa itoshe!.Ni vema kuelewa hoja badala ya kukurupuka na Propaganda za kichovu , ama labda ulitaka tu tujue ulikuwemo kwenye kuanzisha TV Tumaini .
Ndo mawazo ya huyu John pambalu. Kila kitu kulalamika tuu bila kufikiri. Hovyo kabisa.CCM kwani wanarushwa hewani bure?
Naona unajiuliza na kujijibu. Mzee wa watu unamtaja wakati hana mamlaka yoyote kwa uendeshaji wa TV Tumaini. Laana nyingine mnajitakia tu, hata magonjwa ya akili hayo ni laana za kuwakosea adabu wakubwa... Japo tunafahamu kwamba Polycap Pengo ni mwanaccm lakini kwani Pengo ndio mmiliki wa TV Tumaini?
TV ipo hewani, ukilipia king'amuzi tu unaipata bila kujali umechangia kanisa au haujachangia. Elewa mada inayozungumzwa, usikurupukie mambo mengineSamahani kwa maswali ni katika kukuza uelewa tu je muumini asipochangia gharama za uendeshaji wa Kanisa, Kanisa likigoma kumpa huduma ni makosa ?
Kwa mfano utaratibu wa Kanisa ili utambulike kama Mkatoliki lazima uwe kwanye jumuiya muumini hataki kushiriki jumuiya kwa hiari yake mwenyewe siku imetokea amefariki ndugu ndo wanajitokeza na kusema ni mkatoliki wanataka kanisa limzike je kanisa likisema halimtambui likakataa kushiriki kosa la kanisa ni nini hapo ?Ni makosa makubwa kwa kanisa kumpa muumini huduma za kiroho kwa sababu zozote, Mungu alituumba bure, akatubariki bure, na kumuomba Mungu ni bure, makanisa wanapaswa kutoa huduma za kiroho bure.
NB. Makanisa yanaendeshwa na binadamu, kuna mambo ya kibinadamu, hawa waendeshaji wanayachomekea ambayo sio ya Kimungu!. Kuna watoto wanakataliwa kubatizwa, ndoa kukataliwa kufungwa na kukataliwa kupewa huduma za mazishi, ni makosa makubwa ya kibinaadamu tuu.
P
Halafu hili swali hawatajibu badala yake watamlaumu JPM.Hili ni swali la msingi sana!.
P
Mkuu Kadhi Mkuu 1 , this is not right, ila pia sio kweli!, JP ni moja ya vichwa haswa wa Chadema, usifananishe mbingu na nchi!.Ndo mawazo ya huyu John pambalu. Kila kitu kulalamika tuu bila kufikiri. Hovyo kabisa.
bila shaka humjui PengoNaona unajiuliza na kujijibu. Mzee wa watu unamtaja wakati hana mamlaka yoyote kwa uendeshaji wa TV Tumaini. Laana nyingine mnajitakia tu, hata magonjwa ya akili hayo ni laana za kuwakosea adabu wakubwa
Hamjui alafu hata story za kiintelejensia huwa hasomi😀😀bila shaka humjui Pengo
NA HAWA NDIO WANAOMBA WAPEWE NCHI!!We dogo, kwanza uwe na adabu na heshima kwa wakubwa zako, mimi nimehudumu media kwa miaka zaidi ya 30, kuniambia nimekurupuka ni kama kunitukana!.
Pili naendelea kusisitiza habari ni bure dunia nzima, ili chombo cha habari kiitangaze habari yako kuna mambo 3 lazima yafanyike
1. Uwe na habari kweli ambayo kweli ni habari.
2. Media ialikwe kuchukua hiyo habari na media kuwa facilitated kuiripoti hiyo habari
3. Kuwepo kwa nafasi ya kuitangaza hiyo habari.
Hivyo unavyoona hizo habari za CCM ujue
Kwanza ni habari kweli, pili media imealikwa na kuwa facilitated na tatu nafasi imepatikana.
Kama una tukio lako, waalike media, facilitate them, mtatangazwa kama news za CCM!.
P
Mara ya mwisho ametoa kipaimara hapa Parokiani, kwa afya na umri wake ule, hayo uliyoyasema hakika unamuonea. Ndio maana nikakwambia unajitafutia laana tubila shaka humjui Pengo
CCM wanafanya mambo yao hadharani, nyie mmekubali kufichwa chumbani zaidi ya miaka mitatu, sijui unawalaumu hao TVT kwa kosa gani.Taarifa za Habari nazo zinalipiwa na wanaotangazwa ?
Laana nipate kutoka kwa Mtu kama Pengo aliyedai Magufuli chaguo la Mungu ! basi labda Mungu awe shangazi yakoMara ya mwisho ametoa kipaimara hapa Parokiani, kwa afya na umri wake ule, hayo uliyoyasema hakika unamuonea. Ndio maana nikakwambia unajitafutia laana tu
Wakati tukisubiri muendelezo wako, naomba kujitambulisha kwako kuwa mimi ni miongoni mwa watangazaji waanzilishi wa Tumaini media ile 1994, Tumaini media ni independent, inapokea habari na matangazo toka popote as long as sio contents itakayo kwenda kinyume cha imani ya Ukatoliki. Kwa kukusaidia ni kuwa CCM wanalipia, hata makanisa mengine pia wanalipia, njooni tuu mlipie contents zenu mrushwe!. CCM inamiliki Uhuru/Mzalendo, Radio Uhuru, Channel Ten, Magic FM na Classic FM.
Sijui kwanini vyama vingine vinashindwa kuwa na media yake?!, niliwahi kuwa na matumaini na hawa jamaa zangu, Elections 2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio!
Kumbe hii ilikuwa ni ndoto tuu ya mchana!.
P
Sisi Walutheri hatuna muumini Kama WeweKaribu Upendo tv hakuna Siasa