ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
aaah yanini,kwani we unanitambua?
Heaven on Earth umesahau JF kuna wambea kibao
Im sorry also Love,none of it was never my attention either......
Heaven on Earth umesahau JF kuna wambea kibao
Lets bury n forget the past love....
Wapi malkia wangu?Uko poa we washinda tu kue mda wote
Wapi malkia wangu?
Madame B msamehe sio kosa lake, ndiyo maana alikuwa anakumbukia neti ya kuzuia mbu.
Natuma salam kwa my akanana Passion Lady ujumbe ni me mumiss
Natuma salam kwa Lady doctor ya kwamba Arusha one ana kuzunguka.
Natuma salam kwa Paloma ya kwamba alicho kifanya sosoliso pale yenu bar kimenisikitisha sana.
Natuma salam kwa AshaDii na Nicas Mtei ya kwamba hata sisi huku watukumbuke wasipotee.
Natuma salamu kwa my boss charminglady Mamndenyi ya kwamba ni miezi saba sasa hawajanilipa mshahara wangu na kinacho fata ni kuwasue.
Natuma salam kwa babu Asprin ya kwamba..................
Natuma salam kwa Madame B ya kwamba augue pole maana knockout aliyo hipata toka kwa Elizabeth domonic siyo mchezo.
Natuma salam kwa teacher gfsonwin ya kwamba, je alihusishwa kwenye reseach kabla ya kubadilisha div zero to five?
Natuma salamu kwa Bishanga ya kwamba wanajukwaa wame kumiss na huku umeacha ugomvi wa ufestiledi kati ya The secretary na Kongosho.
Naogopa Lady doctor atanipiga.
natuma salamu kwa rafiki zangu wafuatao
lady is first,,,,,,,, Heaven on Earth....... Zinduna........ Lady doctor........ Madame B........ Evelyn salt.... gfsonwin...... lara 1 (kisura)
ujumbe: NAWAPENDA
Natuma selemu kwa wafuatao... Erickb52.. Mr Rocky.. Kaizer.. KakaKiiza.. Mtambuzi.. Kipaji Halisi.. Arushaone.. Mentor.. watu8.. LiverpoolFC... Mzee wa Rula.. Filipo.. Mungi.. Paloma. amu. Chocs... gfsonwin. Arabela. Madame B.. Mamndenyi...my number one girl charminglady...dada yangu kipenzi AshaDii...nanihii wangu Heaven on Earth.. Passionlady.. ladyfurahia..cheupe dawa wangu KOKUTONA...
salam ziwafikie....marafiki zangu wote walio mlogolo....
jamani wino umeisha,wengine kesho......
Natuma salam kwa my akanana Passion Lady ujumbe ni me mumiss
Natuma salam kwa Lady doctor ya kwamba Arusha one ana kuzunguka.
Natuma salam kwa Paloma ya kwamba alicho kifanya sosoliso pale yenu bar kimenisikitisha sana.
Natuma salam kwa AshaDii na Nicas Mtei ya kwamba hata sisi huku watukumbuke wasipotee.
Natuma salamu kwa my boss charminglady Mamndenyi ya kwamba ni miezi saba sasa hawajanilipa mshahara wangu na kinacho fata ni kuwasue.
Natuma salam kwa babu Asprin ya kwamba..................
Natuma salam kwa Madame B ya kwamba augue pole maana knockout aliyo hipata toka kwa Elizabeth domonic siyo mchezo.
Natuma salam kwa teacher gfsonwin ya kwamba, je alihusishwa kwenye reseach kabla ya kubadilisha div zero to five?
Natuma salamu kwa Bishanga ya kwamba wanajukwaa wame kumiss na huku umeacha ugomvi wa ufestiledi kati ya The secretary na Kongosho.
wii nimeshapiga saa nyingi.huu ushindi lazima uuate wii wangu
amu kwa hiyo mimi ndo salamu hazinihusu eeh,,,naona na babu Asprin oia hayupo...au vile nimezamia kitchen party jana....ni DEMBA ana run dunia yangu sio mimi:faint2:natuma salamu kwa Nicas Mtei natuma salamu kwa shemeji nyama ya hamu Filipo nakutumia salamu wewe Mr Rocky popote ulipo nakusalimu Ruttashobolwa nakusalimu Vin Diesel nakusalimu marejesho nakupa salamu dada kipenzi mwaJ nakutumia salamu cacico na Jiwe Linaloishi nawapa salamu wana mkodombwe woooote ujumbe tutakutana Rock city 27 dec wengine tutakutana white party sijui traffic light party
Unajua kuna wengine mmekaa mnasubiri mjue nitaachika lini kwa my switii Ben Saanane.
Penzi langu kwake ni kama tumetongozana jana.
Haniachi ng'oo na mimi simuachilii mpaka kiama.
Na kwa taarifa yako wewe Ruttashobolwa nimeambiwa bado unanivizia.
Na mtuache tulale (in Diamonds voice)