Tuma salamu zako hapa


@Vin Diesel
 

Haya wajii
Salam zimefika na zikurudie

Na kura nishapiga bana
Ngoja nimuite na mdogo ako mentor aje akupigie kura
 
Last edited by a moderator:
Napenda kutuma salamu kwa washawasha na majib yake yanayinifanya nicheke peke yangu
 

hivi msiri wangu mwaJ Bujibuji alitoka kifungoni kweli?
 
Last edited by a moderator:
mwaJ series zimekuwa nyingi sana hadi tunachanganyikiwa wanatengeneza episode moja kabla hata haijaisha inaanza nyingine mpaka tunachanganyikiwa na hizi movies haziishi kila siku mpya tuu
`
Ni kweli ila nilidhani siku hizi unazifuatilia peke yako Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Shukran Vin Diesel,hakika zimenifikia
 
Last edited by a moderator:
Vin Diesel???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…