Tuma salamu zako hapa

Tuma salamu zako hapa

Kongosho nakutumia salamu
popote ulipo,
Ujumbe: Salamu ni nusu ya kuonana
 
Last edited by a moderator:
Natuma salamu kwa mtalaka wangu Mr Rocky
nakupa na wimbo huu hapa
We-Are-The-World...Michael-J

Wewe Mwanamke wacha kujishauwa, tulia na Gamba mwenzako chama acha kutamani vya watu. I hate woman of ur category.
 
Last edited by a moderator:
Salamu zangu zimfikie Ruhazwe JR
..ujumbe ........education has no end..........
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Matola tena ujue nakuheshimu sana
...... Pokea salamu zako pia
Ujumbe...... CCM Juuuuuuuuuuu
Wewe Mwanamke wacha kujishauwa, tulia na Gamba mwenzako chama acha kutamani vya watu. I hate woman of ur category.
 
Last edited by a moderator:
Wewe Mwanamke wacha kujishauwa, tulia na Gamba mwenzako chama acha kutamani vya watu. I hate woman of ur category.
Matola nakusalimu mkuu
dah naona gamba kawahi kufanya assignment zake so Mamndenyi yuko idle kwa sasa ndo maana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Himidini
pokea salamu zangu
... ujumbe ........ [TABLE="width: 655"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 80, bgcolor: transparent"]Zaburi[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]119[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]66[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Unifundishe akili na maarifa, Maana nimeyaamini maagizo yako. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]


^^
Lady doctor na Mr Rocky
Shukrani sana..salaam zenu zimenifikia huko MMU.
Stay blessed my friends!
Karibuni MMU
^^
 
Last edited by a moderator:
mhh nakumbuka zile salam za mafungu.unaambiwa tuma kwa watu watatu........wewe unatuma kwa mafungu matatu.... Bujibuji bana!
 
Last edited by a moderator:
Ritz
images
 
Madame B, Mbona jana msg yngu hujajibu?

Nimekumiss, we acha tu...

M4C biashara ya watu...

Msg yako niliipata...nitaijibu usijali
Yaani Mimi nakumiss mpaka namsahau mume wangu.
M4C ndo mambo yote.
 

Asante sana, naomba salamu zikurudie na pia nichukue nafasi hii kumkumbuka mdogo wangu mpendwa Nivea sijui yuko wapi, na rafiki yangu neggirl popote alipo. Salamu zilipobaki ziwafikie wana JF wote kwa ujumla wao.
 
Last edited by a moderator:

Hivi Mr Rocky mbona siku hizi haunishtui kwenda kutazama movie za polisi?
 
Last edited by a moderator:
Hivi Mr Rocky mbona siku hizi haunishtui kwenda kutazama movie za polisi?
mwaJ series zimekuwa nyingi sana hadi tunachanganyikiwa wanatengeneza episode moja kabla hata haijaisha inaanza nyingine mpaka tunachanganyikiwa na hizi movies haziishi kila siku mpya tuu
`
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom