fute alexander
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 382
- 148
We, Mungu anakuona. Ujue waliajiriwa kwa sifa ya darasa la saba Na ndo kilikuwa kigezo, iwaje Leo umtimue kama mbwa? Aibu saanaMagari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.
Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Sent using Jamii Forums mobile app