Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,509
- 7,263
Ndivyo mnavyowadanganya wananchi?Hao unaosema ukiwafundisha wanaelewa, kasheshe hao wasiotaka kujiendeleza na wamebaki kujiendekeza.
Someni, wacheni kulalamika.
Kigezo ni kuwaondoa darasa la 7 au kupunguza wafanyakazi?
Hao wanasiasa wa darasa la 7 mbona hawajaondolewa wengine mpaka wanavyeti feki lkn wameachwa.
Kusoma siyo tatizo. Ukiwa na watoto wa wandugu nyumbani na unataka uwanunulie watoto wako nguo sharti uwanunulie wote nguo.
Hii ni kampeni ya ccm ya kuendeleza udhalimu wao. Nimeshuhudia kwenye uhakiki wa vyeti baadhi ya watu na sekta zimeachwa, darasa la 7 wameangushiwa panga watu wa chini lkn kuna wanasiasa wakubwa tu ccm wana darasa la 7.
Chama na serikali ya kidhalimu sana hii. Halafu unaambiwa uwe patriot. Teh teh teh
tena km yule shetani mkuu ndiyo anafurahi sana kuona watu wanateseka mtaani