Tulipoambiwa watumishi hewa...

Tulipoambiwa watumishi hewa...

Kwa Uongozi Wa Bashite Hata Kama Angekua Hana Chet Cha Lasaba Me Ningemchagua Hata Kama Anagombea Uraisi Yule Ana Kipaji Swala La Waliotolewa Vyet Ni Wao Kutokujiendeleza Kama Wangejiendeleza Wasinge Kutwa Na Hilo Janga Jpm Lakini Zab 23;1
 
Haya mambo yasikie tu Kwa jirani usiombe yakukute. Hawa wanaopoteza kazi vyeti fake, STD seven wengi wao umri umeenda. Wanaenda kuishi maisha gani zaidi ya kufa Kwa presha na mawazo? Hili si Jambo lakushabikia, busara inatakiwa itendeke
 
Sikia sababu zao sasa we unataka kunambia cku hz kuna magari mapya yenye maelekezo kwny dashboard tofauti na magari ya miaka mi5 iliyopita? Duuuh watu hata vitu vibaya wanavyofanyiwa wenzenu nyie mnaviremba tu vionekane vzr experience ndo ina matter hapo iyo sio sheria au sindano bna

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo ndiyo sababu za elimu ndogo ya darasa na darsa.
 
Yule bwana na watu wake kila walalapo waamkapo wanawaza namna ya kuumiza maisha ya watanzania, ngoja avunje Rekodi ya Kua Raisi bora aliyeharibu maisha ya wananchi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie wa darasa la saba mnaolalamika hapa mmeambulia nini?

tesla-model-s.jpg.cf.jpg

20091024machines.jpg.cf.jpg
 
kwani sheria ya 2004 (kama sjakosea) si inawaacha salama waloajiriwa kwa elimu ya darasa la saba kabla ya mwaka huo (2004)?? kama na wao wanaondoshwa makazini basi M/Mungu ataingilia kati, sooner or later. tusubiri
 
Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?

Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.

Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Dereva, mpishi, mfagiaji, messenger wakajiendeleze wawe na vyeti vya f4 ilihali mabosi wao mawaziri, maRC, maDC, MP wasimamiz wakuu wa serikali ktk ngaz husika wakiongoza wakuu wa idara nyetinyeti na kututungia sheria na kutupitishia mikataba kwa niaba ya taifa zima wao hata hicho cheti cha std7 sio lazma kuwa nacho ili mrad ajue kusoma kuandika na kuhesabu bas amequalify kuhodhi ofisi....
.
.
Wewe mama unaetetea huu ujinga acha kujidhalilisha wengne tunakuheshimu sana
 
Nyie wa darasa la saba mnaolalamika hapa mmeambulia nini?

View attachment 557086
View attachment 557087
Acha sound zako we mwanamke kuna magari yanakuja yameandikwa Kijapan na watu wanapiga gear Dar-Congo.......kwa hili nadhani wamechemka.....halafu unaposema kuna magari ya dashboard zimeandikwa kingereza.....Je mliwafanyia test wakashindwa kuendesha au kupika.......punguzeni mahaba wakati kuna watu wana umia na hii hali.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Ukisoma maoni hapa wengi waathirika wa utekelezaji wa huu waraka uliotoka miaka 15 iliyopita. Kuchangia hapa unaweza kuumiza hisia zao bure hasa kipindi hiki kigumu kwao. Zaidi kuwaombea tu.
 
Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?

Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.

Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Mashudu haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila kitu kina utaratibu fanyani kazi na mpatea ajira kwa utaratibu uliopo achani kulilia humu.
 
Hivi vinapatikana halmashauri ipi hapa nchini?? Watu ambao hata barabara zimetushinda kujenga hizo tehama unazotuonyesha tutazitoa wapi!?
Let's be realistic ur example is irrelevant
Nenda kaajiriwe na wahindi kama hujasoma. Serikalini NO.

Tunataka serikali ya wasomi.
 
Back
Top Bottom