Tulipoambiwa watumishi hewa...

Tulipoambiwa watumishi hewa...

Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?

Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.

Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
unaweza jua English hata kama umeishia la tano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?

Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.

Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Subiri kidogo litakukuta rungu la Magufuri hata hiyo unayoringia nakutoa maneno haya itakuisha
Mtu kafanya kazi miaka 30 unamuondoa ghfla bira hata mshahara wa mwezio husika hii hainatofauti na kesi yakua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?

Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.

Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Darasa la saba miyee sihitaji kujiendeleza wala lolote elimu niliyonayo inanitosha kutafutia mkate wa kila siku, na kuna wanaojiita Wasomi mikate yao ni robo ya mkate wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli ungemchagua,kwa sababu wewe ni mjinga mwandamizi.mimi na elimu yangu nimchague bashiteee??kwa lipi hasa??

Sent using Jamii Forums mobile app
We Una Uchaguzi Wako Kutokana Na Unavofili Sikulaumu Ninachotaka Ni Kiongozi Bora Sio Bora Kiongozi Ebu Fananisha Ma Rc Wote Tz Nzima Na Makonda Sijui Kama Huwa Unasikiliza Vitu Anavyofanya Au Umeamua Tu Kumchukia Ningekupa Baadhi Tu Ya Vitu Wanavyofaid Watu Wa Dar Kupitia Rc Wao Lakini Huwez Amini My God Blees Jpm ,makonda & All Leader In Tanzania
 
Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?

Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.

Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
We unajulikana kwa kua PRo-serikali, hujaanza Leo wala Jana.
Umepania kua blind kwa kilakitu.Nashangaa hata viti maalunu hupati, na Huu ndio muujiza.

Gari LA kompyuta linapita kwenye barabara za kompyuta. Hii ni serikali bado sekta binafsi.

If that is true:-
Na VETA unatoaje cheti wakati dereva hajui kuendesha computer controlled car?.
Na nini nafasi ya kujiendeleza inayopatiwa wafanyakazi?

Gari LA kompyuta sijui dashboard,
Hoja zako ni dhaifu kuliko uchumi mbovu WA Tanzania wa sasa.

Wakati mtaani zimejaa manual vehicles kibao na auto zimebaki kua vimeo vya watu binafsi pekee.

.inahitajika Njaa Kali ikupate ili ufahamu hali halisi. Otherwise nikupoteza muda Ku argue na we we swala hili ambalo ni crucial.

We all know , there's former and informal education. However driving education is still a former education. Na cheti wanatunukiwa na sijui VETA, mambo ya magari sijui ya kompyuta yalipaswa yapelekwe curriculum ya Veta and the like (driving schools)

Cha msingi hawa madereva
Walipaswa kulipwa mafao yao. Kabla hawajambiwa off you go.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maoni yangu, kama serekali inataka kubadili mfumo wa uajiri kwa vigezo vya ubora wa elimu ya mtu ni sawa, ila hawa ambao waliajiriwa kwa vyeti vya darasa la saba sijaona kosa lao hapo, kama hawatakiwi tena walipwe mafao yao alafu serekali iendelee na mpango wake huo wakuangalia ubora wa elimu na taaluma ya mtu,

Kwa hao walio foji vyeti naona sheria ipo wazi tu hapo na wanawajibika kujibu mashtaka kwani ufojaji wa kitu chochote ni kinyume cha sheria duniani kote, kama serekali itaamua kutowalipa chochote pia ni sawa , ila hawa wa darasa la saba na vyeti vyao vya halali serekali iwape haki yao tu,

Ni hayo tu maoni yangu
 
Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?

Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.

Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Ni uonevu tu.
 
Acha uzushi,nenda vigu kaulize Benz atros wanaozindesha wamesoma?na kila leo zinaenda nje na Kuludi na bado mpya kbs,sa iwe na hivyo vi vx
 
Uonevu wakati mmejulishwa toka mwaka 2004?
Labda utusaidie walijulishwa kitu gani/Mwaks 2004?
Kwanini hawakupekekwa kuongezea ujuzi huo WA kompyuta controlled car ?
Kazi ya human resource manager ni IPI kama ha boost elimu ya staffs wake kwa kuwapeleka masomoni ama kozi mbalimbali?

Je madereva WA serikali wanaendesha kwenye barabara zipi zisizotumiwa na madereva wasiokwenda hata shule ya msingi ili isijetokea ajali ya barabara za kompyuta?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uzushi,nenda vigu kaulize Benz atros wanaozindesha wamesoma?na kila leo zinaenda nje na Kuludi na bado mpya kbs,sa iwe na hivyo vi vx

Kurudi.

Wakaendeshe, lakini si za serikali. Soma mada.
 
Back
Top Bottom