englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
Dereva wa Mbunge, Amalze la 12 Lakini boss wake ajue kusoma na kuandika.Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.
Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
ilo gari ukipewa picha yake ya nje unaweza kukuta ni ka corolla saloon hahahaaaaa yeye analeta tuHivi vinapatikana halmashauri ipi hapa nchini?? Watu ambao hata barabara zimetushinda kujenga hizo tehama unazotuonyesha tutazitoa wapi!?
Let's be realistic ur example is irrelevant
Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.
Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Huyo mama ana matatizo makubwa.We mama unaelewa lakini jamaa anachokisema au unaamua tu kujitoa ufahamu?,sasa hilo gari computer controlled miaka ya nyuma kabla hajatolewa kazini alikuwa analiendeshaje,hawa hawakufoji vyeti,waliajiriwa ilhali mwajiri akijua kuwa wemeishia la saba.ila wewe huoni kama kilichofanyika sio fair,siku zote aliyeshiba hawezi jua adha ya mwenye njaa.unadhani walipenda kuishia la saba?
Huna akili, niwie radhi kwa kauli hii but narudia, Huna akili.Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.
Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Vipi na vyoo vya cku hizi ni computer controlled???Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.
Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Hiyo ni tesla, magari mengi yanayotumiwa na taasisi za serikali yametengenezwa na Toyota, mpaka leo hii dashboard ya gari za Toyota zimebadilika kidogo sanaNyie wa darasa la saba mnaolalamika hapa mmeambulia nini?
View attachment 557086
View attachment 557087
Hizo ndiyo!!!!!Hizo ndiyo sababu za elimu ndogo ya darasa na darsa.
Huelewi kuwa moja ya washirika wa Tesla wamepewa ardhi kubwa sana ya madini ya kuundia battery za hizo gari?Hiyo ni tesla, magari mengi yanayotumiwa na taasisi za serikali yametengenezwa na Toyota, mpaka leo hii dashboard ya gari za Toyota zimebadilika kidogo sana View attachment 557132
Kwa kazi ya udereva, mafunzo ya udereva, daraja la leseni na uzoefu wa kazi ni muhimu zaidi ya kuwa na elimu ya juu.Wangeundiwa taratibu ya kupandisha viwango vya elimu yao huku wakiwa kazini (hasa wale waliodumu kazini kwa miaka mingi) kuliko kuwatimua kwa haraka.
Alafu anajifanya anajua uislamu,wakati yuko arogant kuliko maelezo,kutwa kujifanya grammar nazi/police.uislamu unatuhimiza ukarimu,kauli nzuri na huruma,lakini huyu mama hana vyote.Huyo mama ana matatizo makubwa.
Bora ya gari dereva atakariri kuliko tuliowapa dhamana ya kuendesha hii nchi hawajui kiingereza wala hawana elimu wanafanya tu miujiza ya kibashite bashite ili mradi siku zinaenda! Mwambie mkulu akasome angalau kile cha Diamond mtumbuizajiMagari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.
Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.