Kukaja Kununu
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 1,077
- 1,210
alianzaga kwa mtego wa kuninunulia vocha nakunitumia visentisenti baadae nikaona kama anaweza nifanyia ivo kwann nami nisijitoe kwaajili yake...hapo ndpo moto ulipoanzia kuwaka nilichunika hatari...WANAUME TUWE MAKINI NA MITEGO HIYO
Sent using kyala gwa maka
Sent using kyala gwa maka
