SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,077
- 13,936
Nimeipenda comment yako ndugu.Mkipendana kwa dhati na kila mtu akamuelewa mwenzake basi hilo jambo linawezekana kabisa
Kuna kipindi 2017 nilikuwa na mambo mengi sana hadi salary haikutosha, mara paah mwenye nyumba anadai kodi!!!! Alafu wakati anaulizia nilikuwa na gf wangu room!! Nikamwambia father house nitamlipa mwezi ujao kwakuwa mwezi huo nilikuwa na matumizi makubwa!
Kumbe wakati naongea na father house, gf wangu alisikia zile conversations, nilishangaa siku 3 tu akanipa 500,000/= nilipie geto!! Nilishangaa sana lakini pia sikuamini kama angekuwa na pesa au moyo wa kutoa hiyo pesa.
Sent using Jamii Forums mobile app

