MeruA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 1,390
- 2,153
Kwenye ujenzi nilipeleza kama 70k akanipa,na katika kuilipa sikuona haja ya kumpa cash,nilimnunulia samani za ndani za kama laki tano na nusu,hapo namlipia kodi namnunulia chakula kikiisha na hela ya matumizi mara moja moja,
Anajua kama nina mke,ila nafanya hayo yote kwa sababu nimezaa naye.
Cha ajabu mwaka jana Desemba tulizinguana akaidai ile elfu 70.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajua kama nina mke,ila nafanya hayo yote kwa sababu nimezaa naye.
Cha ajabu mwaka jana Desemba tulizinguana akaidai ile elfu 70.
Sent using Jamii Forums mobile app