DAD'S SON
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 392
- 466
- Thread starter
- #41
Asante kwa kunielewesha dada carleenHujaelewa kile namaanisha mkuu,
Nadhani sisi huwa hatusemi ila wapo wanaume wapo na wanawake ili kujinufaisha, hapa siongelei suala la kusaidiana kati ya mtu na mtuwe, Hapana, hiyo mbona inaeleweka na nitafanya kwa moyo kabisa hata yeye anafahamu hilo..!
Wapo wanaume kuomba omba pesa kwao ni tabia, na hawa mara nyingi huwa hawana msaada wowote kwako siku wewe ukiwa na shida, they're true definition of parasites.!!
Sent using Jamii Forums mobile app



mdada anajielewa sinaga mawazo mgando kwake.namwamini ananiamini