Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,120
- 190,521
Nilijua tu mtu wa aina hii alikuwa njiani 🤣🤣🤣 yametimia!Wewe ndo mwanaume.
Umeandika.
Achana na hao watoto wa kiume wanaojisifia kupewa hela na wanawake zako.
Nilijua tu mtu wa aina hii alikuwa njiani 🤣🤣🤣 yametimia!Wewe ndo mwanaume.
Umeandika.
Achana na hao watoto wa kiume wanaojisifia kupewa hela na wanawake zako.
We kwamwene una shida sana aisee 🤣🤣🤣 yani nusura umtoe roho kijana wa watu. Sasa kutoa si moyo lakini? Mbona kudaiana hivyo na alikuwa mtu wako.🤣🤣🤣Zamaani wakati bado mtoto kuna kijana nilikuwa na mahusiano nae, siku moja alienipigia simu akasema ameenda kwao amekuta wamekatiwa umeme mita ilikuwa na deni sijui ilikuwaje sikumbuki vizuri. Inatakiwa walipe elfu themanini kama sikosei na yeye pesa hana.... akasema niazime pesa nitakurudishia mshahara ukitoka. Nikamtumia na nilipanga nimpe tu ila yeye sikumwambia, kama mkosi vile ndani ya kipindi kifupi mahusiano yakaanza kuyumba na pesa yangu hata hajaonesha nia ya kurudisha, nikamkumbusha akaanza kupiga chenga ooh sina hela sasa hivi hela yako nitakulipa, nikamwambia nilipe sasa hivi. Akaanza kutoa povu nikasema hata sijali, fanya unilipe. Ooh basi ngoja nikope nikulipe,nikasema fanya hivyo. Alinirudishia huku ananisimanga, ndio tukawa tumemalizana. Hapo sikumhesabia elfu tano tano alizokuwa 'anaazima' bila kurudisha.
Alaa kumbe wameulizwa wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kweli kabisa, mi nikikwama nachukuaga hata 2M nafanya mishemishe narudishia. shida iko kwa hizi mbuzi ambazo zinajua kupokea tu.Kuna kipindi mtoto wa kigogo aliniletea mafungu yote ya kikoba yeye ndo mweka hazina kwamba niizungushe izae afu tuje tuirudishe,nikaona huu mtego huu unaweza ukahama mji...mwanamke akipenda na akaona una akili anaweza kukuhonga hata nyumba ya baba ake😁
True story!Unaparamia makurumembe mzee, mademu yameumizwa kwenye mapenzi hadi mioyo yao imekuwa sugu, Tafuta watoto waliositaarabika mzee, wanaotoka katika familia bora, hawatafuti mwanaume kwa ajili ya kodi bali wanataka mapenzi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sina wasiwasi kabisa na familia uliotoka. Naweza nikaoa hata ndani ya mwezi mmoja. Shida ni zile mbuzi zingine zenye covid 19 🤣🤣🤣🤣🤣 zinawaza hela tu!Basi mie niko tofauti, kama tulikubaliana nimkopeshe na atarudisha na hajarudisha hapo kweli patakauka na kwanza ntampotezea na kuvunja ukaribu.
Ila kama nilimpa kwa ridhaa yangu na ni rafiki yangu, nikionana nae hata sizungumzii hela niliyompa, nazungumzia habari nyingine zinazotuhusu. Pesa makaratasi siku zote huwa najali utu, nimelelewa hivyo.
Pesa ikiwekwa mbele inaharibu mambo mengi sana ya uhalisia.
Mara nyingi nikifahamiana na mtu huwa najali yeye kama yeye huka zake alivyo na tabia kuliko anamiliki nini, atanipa nini au ntampa nini. Ofcourse other factors remain constant.
Kasinde.
We kwamwene una shida sana aiseeyani nusura umtoe roho kijana wa watu. Sasa kutoa si moyo lakini? Mbona kudaiana hivyo na alikuwa mtu wako.
![]()

na ningemtoa roho kweliUlimpandishia majini kabisa yani🤣🤣🤣 nahisi angeendelea na sound ungemuibukia na mamwela kabisa!
Ulimpandishia majini kabisa yaninahisi angeendelea na sound ungemuibukia na mamwela kabisa!


Walaa, nilikuwa sina cha kumfanya sema aliogopa mkwara halafu alikuwa na kiburi fulani hivi, kitendo cha kuonekana ameshindwa kulipa pesa kama hiyo angehisi ametwezwa sanaNae alikuwa wa Nyaluland nini? Ego kama yote hivi 🤣🤣🤣Walaa, nilikuwa sina cha kumfanya sema aliogopa mkwara halafu alikuwa na kiburi fulani hivi, kitendo cha kuonekana ameshindwa kulipa pesa kama hiyo angehisi ametwezwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sina wasiwasi kabisa na familia uliotoka. Naweza nikaoa hata ndani ya mwezi mmoja. Shida ni zile mbuzi zingine zenye covid 19 🤣🤣🤣🤣🤣 zinawaza hela tu!
Nae alikuwa wa Nyaluland nini? Ego kama yote hivi![]()


kama ulikuwepoo, mnyalu orijinale. Wanaume wa kihehe ptuuu wanipite hiviHivyo vijamaa vinajikutaga sana halafu hata body havinaga 🤣🤣🤣 vibishi kama nnya!kama ulikuwepoo, mnyalu orijinale. Wanaume wa kihehe ptuuu wanipite hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona sasa mnapingaga na kujidai kutoa hela zenu mwiko? Labda mpewe tu!?Mapenzini kusaidiana kawaida..ninacho una shida nakusaidia.
Hata huko kwenu msalaHivyo vijamaa vinajikutaga sana halafu hata body havinagavibishi kama nnya!
Njoo uolewe kanda yetu huku K'njaro hatunaga mambo ya kijinga.

ngoja nijitafutie zangu mzaramo tu. Hao wengine..alafu mpenzi si mti wa pesa kwamba muda wote anakuwa nazo muda wote anipe tu..no..Kuna muda mnaishiwa na mnahitaji tafu kutoka kwa Wandani wenu (sisi)Mbona sasa mnapingaga na kujidai kutoa hela zenu mwiko? Labda mpewe tu!?
Hahahah mzaramo utawezana kupigwa mashine 24/7!
Now you are talking! 👏Hao wengine..alafu mpenzi si mti wa pesa kwamba muda wote anakuwa nazo muda wote anipe tu..no..Kuna muda mnaishiwa na mnahitaji tafu kutoka kwa Wandani wenu (sisi)
Hahahah mzaramo utawezana kupigwa mashine 24/7!
Maana pale ni mapenzi kama kazi tu.


hiyo ndio ndoa sasaHayo ndio mapenzi ya kweli sasa, hongera sana umepata demu mwenye roho ya kizungu. Wanawake wengi ni wabinafsi by nature wana mkono wa kupokea tu ila akikupa hata buku atakusimanga kishenzi ila kunao wale wazungu wa roho mtu anakupa hata M ila hakuwazi.
Huyo mwanamke usije kumuacha, ni wa shida na raha huyo hakika.