Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,120
- 190,518
Hayo ndio mapenzi ya kweli sasa, hongera sana umepata demu mwenye roho ya kizungu. Wanawake wengi ni wabinafsi by nature wana mkono wa kupokea tu ila akikupa hata buku atakusimanga kishenzi ila kunao wale wazungu wa roho mtu anakupa hata M ila hakuwazi.nilipewa sana tena zaidi nikisema nina shida na kitu fulana nashangaa imesibitishwa.
Kuna muda mpaka nilikuwa napiga mkwara kuwa usinitumiep pesa yoyote acha nikae na matatizo yangu lakini nashangaa kitu kimesoma.
NB: Bado nipo naye, sasa ni zamu yangu naampa kila anataka coz nina kazi sasa, kipindi kile nilikuwa sina kazi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyo mwanamke usije kumuacha, ni wa shida na raha huyo hakika.