Mwanamke anatakiwa apewe hela na apigwe dodoki haswa na siyo vinginevyo

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu wana Jf tunaomba mtuombee sisi wa kosefu.Amina

MAJUKUMU MAKUU YA MWANAUME HAPA DUNIANI*

1: KUTAWALA (uongozi wa viumbe hai na wasio hai wenye mwili na wasio na mwili kwa namna zake)

2: KUFANYA KAZI ILI KULA NA KULISHA CHAKULA

3: KUTUNZA / MLINZI (wa viumbe hai na wasio hai wenye mwili na wasio na mwili kwa namna zake)

4: KUPIGA MASHINE JINSIA KIKE / MWANAMKE KISAWASAWA MPAKA AZAE

5: KUPENDA NA KUTUMIA AKILI

Sasa ndugu zangu nimeanza hivyo kwa kuainisha majukumu ya mwanaume ili tuende sawa sawa katika mlinganyo ya kwamba huwezi kumtawala mwanamke, kumpenda ,kumtunza , kuwa mlinzi wake kama huna uwezo wa kiuchumi ( kumuhudumia ) na kupiga machine kisawasawa mpaka mwanamke akimbie na pichu mkononi.

Kabla ya mwanaume kupewa mwanamke alipewa kazi na Muumba wake (rejeeni vitabu vitakatifu)

Sasa katika swala zima la mahusiano ya kimapenzi baina ya mwanaume na mwanamke ni wazi kwamba wanawake wengi wapo kimaslai na wameweka hela mbele isivyo kawaida ndugu zangu na kusababisha vijana wengi kuibuka na misemo ya tafuta hela , zingatia maokoto, hela sabuni ya roho. Na hata wengine kutumia hela vibaya kununua upendo , furaha na amani ya moyo kutoka kwa hawa wanawake pasi na kujua kufanya hivyo ni kujidanganya mwenyewe na kuangamiza uchumi wao binafsi huku wakijichimbia kaburi kubwa kimnya kimnya na mwisho wafe wakachomwe moto wa milele kwa uzembe wao.

Ndugu zangu tunafahamu mwanaume bila hela sahivi huwezi pata mwanamke wa kukuheshimu wala hakuna anae kutii wala kukusikiliza kwa namna yeyote ile maana hela (uchumi) wanatumia kama sumaku, na huwezi kujua wanataka kiasi gani.

Ikumbukwe hela ndiyo itakayo kufanya wewe uonekane uko bomba kabisa, uchumi imara na mwenye mvuto haijalishi ni kiduchu kikubwa uwe na sumaku tuu, hela inachochea kuboresha mapenzi ila bila kupiga dodoki wewe ni mzimu unaotembea kwa nyota ya hela na uchumi imara

Wakuu tumeshuhudia matajiri wengi sana wakiwa na pisi kali za maana ila wanachapiwa na vijana wa hovyo tuu na pia tumeshuhudia masikini wengi sana wakichapiwa pisi zao na waliojipata yote haya ni kutokana na kukosa nguvu moja ya msukumo ikiwamo hela au nguvu za kiume za kupiga nyapu msasa mpaka mwanamke aombe poo

Ndugu zangu hakuna mapenzi bila hela na bila kupiga mwanamke dodoki la nguvu , tunajua utajiri na nguvu za kiume ni maadui wawili ila kama mawanaume jitajidi ukae katikati (mpakani) yaani nusu hela nusu dodoki la kisawa sawa. Jitahidi sana mizani zako zi balance wanaume wenzangu na pia cheza kwa akili mno maana upo katikati ya mipaka ya hela na nguvu za kiume ili usije ukasababisha vita vya upande mmoja.

Wanaume wenzangu wanawake wanatakiwa tuwape hela kijanja na tuwasugue haswa mpaka wa kimbie na pichu na siyo vinginevyo. Wewe mpe tu vihela hela kwa hesabu za kibahili kama ishara ya kumjali ila hakikisha kabisa akikupa mbunye unapiga msasa mpaka aombe poo achanganyikiwe kabisa, wewe sugua haswa na siyo kumlegezalegeza na usije ukamuonea mwanamke huruma kwenye kumsugua haijalishi atakua nyanga'anyang'a wewe sugua tuu hakikisha unaisugua vilivyo na vihela unampampa vya mahesabu na vyakufanyiafanyia usafi wa hapa na pale (apendeze)

Tofauti na hapo sisi tulio kati kwa kati tutawasidieni hakika na mtakuja kulia hapa wanawake ni wabaya kumbe nyie ndiyo mnao kosea

Nb: Ukimpa hela na ukamsugua kisawa sawa hata akikusaliti na kwenda kuolewa kwingine ipo siku atamiss mikikimikiki yako nakutamani umsugue tena na huu ndiyo ukweli ambao wengi hamtaki kuusikia

Naamini tumesha samehewa dhambi zetu. Amina
 
Mimi nilidhani ukimpa hela na kumsugua kisawa sawa hatokusaliti, kumbe bado ni kazi Bure?

Hii haya ya mwisho inafanya bandiko lako liwe 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Suala la Wanawake kuchepuka/Kusaliti sio geni tena miaka hii.

Ndiyo maana kuna jamaa humu aliwahi kushauri eti hakikisha umekojoa tu hata kama itakuwa la sekunde 15 then kafocus kwenye kutafuta zako hela tu

Tusisahau tumeambiwa tuishi nao kwa akili
 
Ndugu wana Jf tunaomba mtuombee sisi wa kosefu.Amina

MAJUKUMU MAKUU YA MWANAUME HAPA DUNIANI*

1: KUTAWALA (uongozi wa viumbe hai na wasio hai wenye mwili na wasio na mwili kwa namna zake)

2: KUFANYA KAZI ILI KULA NA KULISHA CHAKULA

3: KUTUNZA / MLINZI (wa viumbe hai na wasio hai wenye mwili na wasio na mwili kwa namna zake)

4: KUPIGA MASHINE JINSIA KIKE / MWANAMKE KISAWASAWA MPAKA AZAE

5: KUPENDA NA KUTUMIA AKILI

Sasa ndugu zangu nimeanza hivyo kwa kuainisha majukumu ya mwanaume ili tuende sawa sawa katika mlinganyo ya kwamba huwezi kumtawala mwanamke, kumpenda ,kumtunza , kuwa mlinzi wake kama huna uwezo wa kiuchumi ( kumuhudumia ) na kupiga machine kisawasawa mpaka mwanamke akimbie na pichu mkononi.

Kabla ya mwanaume kupewa mwanamke alipewa kazi na Muumba wake (rejeeni vitabu vitakatifu)

Sasa katika swala zima la mahusiano ya kimapenzi baina ya mwanaume na mwanamke ni wazi kwamba wanawake wengi wapo kimaslai na wameweka hela mbele isivyo kawaida ndugu zangu na kusababisha vijana wengi kuibuka na misemo ya tafuta hela , zingatia maokoto, hela sabuni ya roho. Na hata wengine kutumia hela vibaya kununua upendo , furaha na amani ya moyo kutoka kwa hawa wanawake pasi na kujua kufanya hivyo ni kujidanganya mwenyewe na kuangamiza uchumi wao binafsi huku wakijichimbia kaburi kubwa kimnya kimnya na mwisho wafe wakachomwe moto wa milele kwa uzembe wao.

Ndugu zangu tunafahamu mwanaume bila hela sahivi huwezi pata mwanamke wa kukuheshimu wala hakuna anae kutii wala kukusikiliza kwa namna yeyote ile maana hela (uchumi) wanatumia kama sumaku, na huwezi kujua wanataka kiasi gani.

Ikumbukwe hela ndiyo itakayo kufanya wewe uonekane uko bomba kabisa, uchumi imara na mwenye mvuto haijalishi ni kiduchu kikubwa uwe na sumaku tuu, hela inachochea kuboresha mapenzi ila bila kupiga dodoki wewe ni mzimu unaotembea kwa nyota ya hela na uchumi imara

Wakuu tumeshuhudia matajiri wengi sana wakiwa na pisi kali za maana ila wanachapiwa na vijana wa hovyo tuu na pia tumeshuhudia masikini wengi sana wakichapiwa pisi zao na waliojipata yote haya ni kutokana na kukosa nguvu moja ya msukumo ikiwamo hela au nguvu za kiume za kupiga nyapu msasa mpaka mwanamke aombe poo

Ndugu zangu hakuna mapenzi bila hela na bila kupiga mwanamke dodoki la nguvu , tunajua utajiri na nguvu za kiume ni maadui wawili ila kama mawanaume jitajidi ukae katikati (mpakani) yaani nusu hela nusu dodoki la kisawa sawa. Jitahidi sana mizani zako zi balance wanaume wenzangu na pia cheza kwa akili mno maana upo katikati ya mipaka ya hela na nguvu za kiume ili usije ukasababisha vita vya upande mmoja.

Wanaume wenzangu wanawake wanatakiwa tuwape hela kijanja na tuwasugue haswa mpaka wa kimbie na pichu na siyo vinginevyo. Wewe mpe tu vihela hela kwa hesabu za kibahili kama ishara ya kumjali ila hakikisha kabisa akikupa mbunye unapiga msasa mpaka aombe poo achanganyikiwe kabisa, wewe sugua haswa na siyo kumlegezalegeza na usije ukamuonea mwanamke huruma kwenye kumsugua haijalishi atakua nyanga'anyang'a wewe sugua tuu hakikisha unaisugua vilivyo na vihela unampampa vya mahesabu na vyakufanyiafanyia usafi wa hapa na pale (apendeze)

Tofauti na hapo sisi tulio kati kwa kati tutawasidieni hakika na mtakuja kulia hapa wanawake ni wabaya kumbe nyie ndiyo mnao kosea

Nb: Ukimpa hela na ukamsugua kisawa sawa hata akikusaliti na kwenda kuolewa kwingine ipo siku atamiss mikikimikiki yako nakutamani umsugue tena na huu ndiyo ukweli ambao wengi hamtaki kuusikia

Naamini tumesha samehewa dhambi zetu. Amina
kama Gigy
 
Back
Top Bottom