Tuliowahi kukutwa na ushamba mara baada ya kununua gari kwa mara kwanza tukutane hapa

Siku Moja niliomba bei ya gari hizi kwenye showroom za Dar es Salaam.
1.IST.
2. Vts.
3. Volvo
4. Carina TI.
5. Volts.
6. Suzuki.
7. Nadia.
8. Balloon 4pistons.
9. Gx100
10. Corona old model.
11.Allexes.
12. Premio old model.
13. Wish.
14. Verosa.
15.Juke
16.altezza
17. Alfaaard
18. Volkswagen toleo la sasa.
19. Allions



Naomba Msaada
 
Mara ya kwanza kuendesha gari siku iyo mvua inanyesha kubwa ilinikutia barabarani halafu nikawa sijui kuwasha wiper ....mtoto wa ndugu yangu nlikua nae mle kwenye gari ni mdogo alikua clas 4 ndio akaniwashia ...siku nyingine nlikua natoka raf road naingia lami nikachelewa kuminya break nikamgonga wa bajaji afu alikua ametoka kupiga rangi ya kijani ikabaki kwenye plate no ....ile nafika home mr ananiuliza vipi mbona kijani nikamdanganya ili asinicheke nilikuja kumuadisia siku nyingine huko
 
Aisee ki IST kiligoma kuwaka kumbe kilikuwa kwenye gia hahhahaah... Nikampigia fundi nikiwa na wazo betri limechuja.... Lahaula kusukuma sukuma gear lever nawasha ngoma ipo hewani..... Nilizima simu kwanza fundi asinidai ya boda boda
 
Mara ya kwanza kumiliki gari baada ya miezi miwili hivi mlango wa nyuma kwa abiria ukawa haufunguki kwa ndani, basi siku nimeenda kufanya service ya gari, nikamwambia hilo tatizo fundi, nikaona anatabasamu tuu halafu akasema ngoja ampigie fundi wa umeme, fundi kaja kachokonoa kiana mara mlango ukawa fresh, wakanitoa upepo kidogo. Daaahh nilipokuja kugundua shida ilibidi nicheke tuu.
 
Mara ya kwanza kumiliki gari baada ya miezi miwili hivi mlango wa nyuma kwa abiria ukawa haufunguki kwa ndani, basi siku nimeenda kufanya service ya gari, nikamwambia ilo tatizo fundi, nikaona anatabasamu tuu alafu akasema ngoja ampigie fundi wa umeme, fundi kaja kachokonoa kiana mara mlango ukawa fresh, wakanitoa upepo kidogo. Daaahh nilipokuja kugundua shida ilibidi nicheke tuu.
Child lock
 
Back
Top Bottom