Inategemeana aina ya gari ndugu yangu.Kuweza kuhudumia gari...kama service,wese nk
Weka mikono yako kifuani sema mimi ni kiazi
Hakuwa akijua kuendesha gari au tuseme hakujifunza au kufundishwa ipasavyoHuu ushamba ulivuka mipaka..ulikua kiasi cha kuitwa upumbavu au sio mkuu?😂
Inaelekea alielekezwa mtaani na ni siku chacheHakuwa akijua kuendesha gari au tuseme hakujifunza au kufundishwa ipasavyo
Shikamoo Mkuu.Nakumbuka alteza yangu nilimpa fundi laki nne kwenda kunijaribia kama linatatizo
Child lockMara ya kwanza kumiliki gari baada ya miezi miwili hivi mlango wa nyuma kwa abiria ukawa haufunguki kwa ndani, basi siku nimeenda kufanya service ya gari, nikamwambia ilo tatizo fundi, nikaona anatabasamu tuu alafu akasema ngoja ampigie fundi wa umeme, fundi kaja kachokonoa kiana mara mlango ukawa fresh, wakanitoa upepo kidogo. Daaahh nilipokuja kugundua shida ilibidi nicheke tuu.