Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,459
- 11,345
Ngoja na mimi nigonganishe magari nipate Cha kuwasimulia haiwezekani niwe mnyonge na mchovu daily
Eboooooo!
😁😁😁😁🔥
Eboooooo!
😁😁😁😁🔥
Kweli, maana ukiambiwa ukae hapo ni noma.Kiti Cha Moto kabisa[emoji4]
Niko kwny mchakato wa kumhamisha mkoa, Nadhan wiki ijayo Mambo yatakwenda sawia.
Jana nilikua dodoma kwenda hilo kulishughulikia suala lake.
Kila la kheriNgoja na mimi nigonganishe magari nipate Cha kuwasimulia haiwezekani niwe mnyonge na mchovu daily
Eboooooo!
😁😁😁😁🔥
Hujawahi kumfumania Mr. Van?Nasoma comments
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha weeMiaka ya nyuma kabla sijaoa nlikua na binti mmoja mlokole Kwny mahusiano.
Sasa ikawa kila akija kwangu kunifanyia usafi na kunipikia anakuja na shoga ake wa kike mrembo sana,
Sasa Shoga yake uyu alkua anapenda kuangalia mikanda ya Kanumba maana kila CD mpya ikitoka lazima nilikua nayo
Sasa Shoga mtu Kuna Siku alkua anakuja peke ake bila hata mpnz Wang, afu ukaaji wake seblen ulkua unanipa tabu Sana.
Kuna Siku nikamjaribu akakubali na nikawa namega tunda wote wawili, ila ratiba tofauti tofauti pale pale home..
Ila shoga mtu nikamlaghai kwamba anivumilie namtaftia kisa mpnz wang nimuache niendelee na yeye TU, akasema sawa ananisubiria nikipate kisa nimuache.
Kisa no.1
Kuna Siku usiku mpnz Wang Kaja gafla usiku kanigongea, nikamchukua uyu nikamficha uvungun. Alipoingia kanikiss dkk cache Kisha akabeba vyombo vyake alivyoniletea chakula akaondoka navyo kwao, Kisha tukaendelea na uyu shoga mtu mpk asbh. Hakugundua kitu kabisa.
Kisa No.2
Kuna Siku Niko na shoga mtu tuko uchi tunafanya, nikaskia geti linafunguliwa, haraka nikamficha kabatini.
Kumbe mpnz Wang Kaja na nyege zake nae anataka tufanye.
Nikamwambia Basi tukaoge Kwanza, nimkavua tukaingia bafun kuoga, Kisha nkamwambia ngoja nkafunge geti vizur na mlango wa sebleni Kuna wez mtaani kwetu skuhz. Akakubali
Nikarud haraka nikamtoa uyu kabatini aondoke, nguo zake alikwenda kuzivalia kwny choo Cha nje kisha akaondoka zake.
Uyu hakugundua kitu kabisa.
Kisa Cha 3,
Kuna Siku asbh niko dukan, shoga mtu kanambia ananyege tukafanye. Nkamwambia tukutane home nakuja sahv.
Nikawaaga vijana natoka naenda home Mara Moja narud, Basi nikaenda mshughulikia shoga mtu.
Katikati ya tukio, kumbe mpnz wang katoka kanisani kwao nae Kapitia kunijulia Hali dukan kwangu kaambiwa nmeenda nyumban kwangu Mara moja.
Kanisubiria kaona sitokei,hivyo kaamua Kuja nyumban mwnyw.
Sasa kosa nililolifanya siku iyo geti liliegeshwa TU na wote tukasahau kuingiza viatu ndani, yaan kakuta viatu vyangu na sendoz za shoga ake mlangon sebleni na tumejifungia kwa ndani. Afu mziki mkubwa unapiga ndani na taa ya chumban kwangu imewashwa.
Kaja kunigongea dirishan chumban, nikagoma kufungua.
Kapiga sim hatupokei simu zote nmeziweka silent mode. Kaanza kurusha Maneno dirishani anauhakika kwamba Niko na shoga ake mle ndani tunafanya mapenz
Nikajisemea uyu mpk aondoke ndo ntatoka nje. Najua hawez kulala hapa ataondoka TU.
Basi Tumekaa mle ndan karibu Masaa 3 nje kote kuko kimya, nkamwabia uyu.
"Wee toka nje ashaondoka uyu, kavumilia mpk kashindwa. Nilikwambia dawayake Ni Iyo TU." Uyu kafurahi tumecheka tumekiss.
Uyu kavaa,nmefungua mlango katoka nje, nmemsindikiza ile nmefika getini mpenz wang uyu apa nae anatokea kwny kibanda Cha mlinzi. Kumbe alijificha humo MDA wote ule katulia tu.
Vurugu Kali Sana ikaibuka pale,
nikawaachanisha shoga mtu kakimbia kipigo, mpnz wangu kabaki na Mimi.
Aisee alinipiga makofi kadhaa uku analia nikashindwa hata kujibu mapigo nikawa mpole, kisha nikamkumbatia.
Nikambeba Nikampeleka ndani, nikambembeleza hataki kuelewa.
Basi nikaona Ujinga huu, nabembeleza mtu gani uyu haelewi, liwalo na liwe mi naondoka zangu bhana. Nkarud zangu dukan
Cha ajabu nikarud jion nikamkuta, chakula keshapika.
Kanipakulia Nikala bila hata kumsemesha, Kisha nikaenda kulala nikitegemea na yeye ataenda kwao.
Cha ajabu nikaona kaingia kuoga Kisha nae kaja kulala uchi, nikaona Ujinga huu hebu hii kesi niimalize hapa hapa.
Nikamtekenya nikaona kalainika, tukafanya kila mtu kimya kimya. Kibubu bubu.
Baada ya tendo ananiuliza kwann nilimsaliti MDA ule kwa shoga ale.
Nikamwambia,
"Nisamehe Sana mpnz Wang, yaan hata mm mwnyw sielewi ilikuaje kuaje. Ndo maana at ulivyonipiga makofi nilishindwa kujibu nn kimetokea MDA ule. Yaan pale ndo akili zilirudi kwamba nmekukosea"
Akauliza,
"Una maana gan kusema vile"
Nikajibu,
"Haiingii akilini Eti nikatembea na mwanamke mbovu Kama yule, Hivi nakosa Nini kwako, sio sura Wala umbo hakufikii kwa lolote. Mpka najishangaa. Sio bure mpnz wangu atakua kaniroga yule. Ile sio akili yangu kabisa NAKATAA"
Akasema,
"Ndo muangalie wanawake wa kutembea nao, yule Bibi yake anafuga mipaka KIBAO. Huenda Ni kweli amekuroga. Najuta kwanza kwann amekufahamu maana tangu tunasoma wote nilikuaga naskia wanasema Bibi yake mchawi kabisa"
Nikamjibu,
"Kwakweli atakua Ni mchawi Sana mi mwnyw nmeona, ila Nisamehe Sana mpnz Wang. Naomba uniombee sn my love "
Akasema,
"Nakuombea ila na Wewe ujiombee MUNGU akuepushe na majaribu Kama haya, uyu shoga angu mchawi sana wewe TU ndo ulikua ujui"
Basi tukamaliza hivyo,
Ila Sasa yule shoga ake hatukuja kuacha kulalana, Sasa baada ya hapo venue ikahamia guest houses na lodge tunaenda kufanya ila kwa tahadhar kubwa sana tusije kubambwa Tena.
Nilikuja kuachana nao wote miaka 2 mbele, mlokole wangu uyu alikwenda masomoni nje ya nchi. Afu yule shoga mtu nae akaenda kuolewa mkoani uko (dodoma).
Dah! Haya maisha bhana[emoji26]
Ila Wachawi wanasingiziwa mengi,
Sema ulokole wa mpenz wangu yule uliniokoa kwny kesi, Aliamini mno uchawi Hadi kwny vitu vya kijinga kabisa Kama vile[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatareeeh sana.Kisa kingine nilichogonganisha magari,
Kipind bado sijaoa,
Nikaja kua na mahusiano na binti mmoja alikua anasomea uhasibu kule mkoani (Arusha). Kiukweli binti yule kweli nlikua nampenda sana na nilipanga aje awe mama watoto wangu siku za usoni.
Sasa kutokana na ukame,
Shetan akaja akanipitia nikaangukia mikononi mwa BINTI mmoja anasubiria ajira za serikali pale mtaani kwetu kwao wanafuga ng'ombe wa maziwa. Kwaiyo alikua ananiletea maziwa ya bill kila siku Jion nikisharudi au asbh Sana kabla sijaenda dukan kwangu.
Nikaanza kupita nae kimya kimya .
Sema sikumwambia kwamba nna mtu mwngn tayar.
Sasa Kuna Siku mchumba wangu uyu karudi likizo kafikia kwangu, tukiwa ndani tunafanya yetu ikasikika geti linafunguliwa, Kisha hodi sebleni inagongwa.
Nikauliza "Nani?" ikajibiwa saut ya mtoto mdg kwamba "maziwa" . Nikajua apa usalama ile sauti Ni ya kitoto Cha kwao yule BINTI kimeleta maziwa.
Nikamwabia mwanamke wangu akayachukue maziwa, Basi akachukua na akayapelea MoJa jikon tukandelea kufanya yetu.
Haukupita MDA mrefu Sana tuko tunafanya,
Ikasikika tena geti linasukumwa na hodi nyngn Tena seblen inagongwa, nikauliza "Nani?" kitoto kikaitikia "maziwa"
Nkamwambia mpnz Wang, kamsikilize uyo mtoto anashida gani. Akanambia wee nenda bhana ndo mwenyeji.nikasema POA.
Basi nikavalia boksa na taulo tu nikaenda kufungua, ile nmefungua nikasukumwa kwa ndani, akaelekea chumban Moja kwa moja Kisha nikamfata uko uko. Ile kafika kaanza kulia afu naulizwa "uyu Ni Nani?"
Nikaona hapa,
nikijifanya nabalance kote kote apa nakosa vyote. Apa niangalie upande wa mpenz wang kwa manufaa.
Nikamjibu, "unaniuliza hivyo wewe Kama Nani?"
Akasema, "nakuuliza Kama mpenz wako"
Nikamjibu, "mpenz wako tangu lini? Hivi una akili nzur kweli wewe mwanamke? Au umetumwa?"
Mpenz wangu nae akauliza
"Dp kwani uyu Ni Nani?"
Nikamjibu,
"Mi mwnyw simjui mpnz wang, nashangaa ananiparamia uyu Sijui katumwa na Nani? "
Binti akadakia,
"Dp Hivi wewe wa kunifanyia Hivi kisa hiki kinyago chako umekileta umu ndani?" Uku anaelekea kumkaba Koo na kumpiga makofi.
Aisee wakaanza kukabana,
nikaona Ujinga huu. Nikamtenganisha Kisha nikamzaba makofi mawili ya kushiba shavu la kushoto na la kulia akamuachia koo.
Nikamburuza kwamba atoke kwangu simtambui Mimi, akalia Sana nnachomfanyia sema nikawa serious nikamtoa nje na makofi kibao nikamtupa kwa nje ya geti.nimefura hasira. Kisha nikafunga geti.
Ile nmerud ndani nmenuna,
Uyu nae akaniamshia kesi upya,
"NATAKA uniambie ukweli yule alikua Nani yako? Vinginevyo hapa hapakaliki"
Nikamwambia kwa ukali sana,
"Na Wewe usiniletee huo upumbavu wako Kama umenichoka uniambie tuachane kwa amani sio kunitengenezea mafumanizi feki na kunitumia wanawake hawaeleweki hapa kwangu kuja kunidhalilisha"
Nikaongezea,
"Ifike MDA huu upumbavu mkafanyiane uko na wapumbav wenzenu. Hivi Mimi na heshima zangu naanzaje kutembea na wanawake wabovu na wachafu wachafu Kama wale na wananuka nuka maziwa mwili mzima, hebu tuheshimiane. Tena ukome kabisa kunijaribu. Sijaribiwi mimi"
Akasema,
"Aaah Lazima niulize, maana yule Ni mtu mzima na alikua serious, usitake kujifanya humjui kisa mimi"
Nikamjibu,
"Aisee Kama na Wewe unaungana na yule kichaa wako naomba uondoke apa kwangu haraka sana kabla sijakufanya kitu kibaya. Sitaki upumbavu kwangu" huku nae namburuza kumtoa chumba kumleta sebleni ili aondoke,nae nikamtupia mkoba na mtandio wake chini uko sebleni.
Akaanza kua mpole,
"Basi sawa nmekuelewa, turudi chumban kwanza, unaniburuza unaniumiza bhana"
Nikamjibu,
"Umeyataka mwnyw, huwez kuniletea watu wa hovyo kwangu kisha nikuvumilie"
Akasema,
"Subir bhana, wee unavyonifikiria ndivyo sivyo mwenZio"
Nikamwambia,
"Sitaki kuskia chochote kinahusika na hili suala kwa Sasa,Wee na yule mpumbavu wako mmenivuruga akili yangu kabisa leo, siko sawa kabisa" uku nmenuna balaa.
Akasema, "Aya, Basi yaishe"
Kesi nikawa nmeimaliza hivyo,
Ila Sasa baada ya hapo, Yule binti baada ya siku 2 nikaja kutana nae njiani nikamwambia nna maongez na yeye akasema nimuache.
Nikamwambia nishakuacha mda Wala Sina MDA na wewe Niko kwny mahusiano mengine, maongez yanahusu vitu vingine kabisa na sio mapenz na wewe.
Akakubali ila kwamba tukutane baa na sio kwangu Wala lodge. Nikakubali.
Ile tumefika baa nikamwambia twende lodge nikakukabudhi vitu vyako vyote tulivyopeana tuachane kwa amani, mahusiano aya yafe rasmi. Akakataa ila baadae akakubali.
Aisee alivyofika lodge,
Hakukua na kitu chochote Wala Nini, Tukaishia kusex na tukarudiana tena.
Ila baada ya kusex nikamwambia na yeye alichokosea ni kuja kwangu bila taarifa, afu yule Ni MKE wangu kabisa na siku ile wake zangu walikuemo ndani. Akalalamika ila akakubali ule uwongo wangu.
Na akasema kabla hajaja atakua ananiparamia taarifa. Nikasema sawa.
Nikawa namega wote, kabla hajaja anaambia kwamba aje au aache.
Ila Baadae sasa uyu binti alikuja kupata KAZI Zanzibar, umbali ukatuachanisha kabisa.
Uyu wa uhasibu Arusha,
Tulikuja kuachana aliponifumania na mwanamke mwingine Mara ya pili Niko Coco Beach kwny gar tunafanya mapenz.
Na kwasababu tayar nilishamtoa moyoni hata sikuangaika nae, Aliposema tuachane nikasema "POA" ikawa imeisha hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawajawahi kuja wenyewe, mwingine hata kituo cha daladala hakijui. So nina uhakika hawawezi nivamia.
Khaaaah wote hawa was nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikua konkodi wa haya mambo na sikuwahi gonganisha licha ya kuishi jirani kabisa na chuo cha tumaini ambako nilikua na madem watatu,halafu ruaha wawili...mtaani wawili mmoja wa salon mwingine tigoshop
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi Kuna mdada mmoja alitugonganisha na mchizi mmoja nikabaki nimeshikilia tuchips kwenye rambo .Wao wakaingia kwenye ndinga na jamaa yake haoo.Na chips zenyewe na soda kaniagiza mwenyewe huyo ' bitch' nikashindwa nizitupe au nizile mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sana mzee kidogo nijinyee kwa jinsi nilivyokua nakapenda Ila kwa ubishi nilizila .Hatukurudiana ofsa kalikua kachizi magari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie niligonganisha nikakuta "madereva wote" wako fair wakasema kila mtu akatengeneze gari lake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungi wangu kumbe wee ni mwanaume??
Hahaha Binti Kirembwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wew jamaa ndo yule wa Udsm uliyemuweka demu kwenye nyasi chini mle chipsi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]legend kama legendMiaka ya nyuma kabla sijaoa nlikua na binti mmoja mlokole Kwny mahusiano.
Sasa ikawa kila akija kwangu kunifanyia usafi na kunipikia anakuja na shoga ake wa kike mrembo sana,
Sasa Shoga yake uyu alkua anapenda kuangalia mikanda ya Kanumba maana kila CD mpya ikitoka lazima nilikua nayo
Sasa Shoga mtu Kuna Siku alkua anakuja peke ake bila hata mpnz Wang, afu ukaaji wake seblen ulkua unanipa tabu Sana.
Kuna Siku nikamjaribu akakubali na nikawa namega tunda wote wawili, ila ratiba tofauti tofauti pale pale home..
Ila shoga mtu nikamlaghai kwamba anivumilie namtaftia kisa mpnz wang nimuache niendelee na yeye TU, akasema sawa ananisubiria nikipate kisa nimuache.
Kisa no.1
Kuna Siku usiku mpnz Wang Kaja gafla usiku kanigongea, nikamchukua uyu nikamficha uvungun. Alipoingia kanikiss dkk cache Kisha akabeba vyombo vyake alivyoniletea chakula akaondoka navyo kwao, Kisha tukaendelea na uyu shoga mtu mpk asbh. Hakugundua kitu kabisa.
Kisa No.2
Kuna Siku Niko na shoga mtu tuko uchi tunafanya, nikaskia geti linafunguliwa, haraka nikamficha kabatini.
Kumbe mpnz Wang Kaja na nyege zake nae anataka tufanye.
Nikamwambia Basi tukaoge Kwanza, nimkavua tukaingia bafun kuoga, Kisha nkamwambia ngoja nkafunge geti vizur na mlango wa sebleni Kuna wez mtaani kwetu skuhz. Akakubali
Nikarud haraka nikamtoa uyu kabatini aondoke, nguo zake alikwenda kuzivalia kwny choo Cha nje kisha akaondoka zake.
Uyu hakugundua kitu kabisa.
Kisa Cha 3,
Kuna Siku asbh niko dukan, shoga mtu kanambia ananyege tukafanye. Nkamwambia tukutane home nakuja sahv.
Nikawaaga vijana natoka naenda home Mara Moja narud, Basi nikaenda mshughulikia shoga mtu.
Katikati ya tukio, kumbe mpnz wang katoka kanisani kwao nae Kapitia kunijulia Hali dukan kwangu kaambiwa nmeenda nyumban kwangu Mara moja.
Kanisubiria kaona sitokei,hivyo kaamua Kuja nyumban mwnyw.
Sasa kosa nililolifanya siku iyo geti liliegeshwa TU na wote tukasahau kuingiza viatu ndani, yaan kakuta viatu vyangu na sendoz za shoga ake mlangon sebleni na tumejifungia kwa ndani. Afu mziki mkubwa unapiga ndani na taa ya chumban kwangu imewashwa.
Kaja kunigongea dirishan chumban, nikagoma kufungua.
Kapiga sim hatupokei simu zote nmeziweka silent mode. Kaanza kurusha Maneno dirishani anauhakika kwamba Niko na shoga ake mle ndani tunafanya mapenz
Nikajisemea uyu mpk aondoke ndo ntatoka nje. Najua hawez kulala hapa ataondoka TU.
Basi Tumekaa mle ndan karibu Masaa 3 nje kote kuko kimya, nkamwabia uyu.
"Wee toka nje ashaondoka uyu, kavumilia mpk kashindwa. Nilikwambia dawayake Ni Iyo TU." Uyu kafurahi tumecheka tumekiss.
Uyu kavaa,nmefungua mlango katoka nje, nmemsindikiza ile nmefika getini mpenz wang uyu apa nae anatokea kwny kibanda Cha mlinzi. Kumbe alijificha humo MDA wote ule katulia tu.
Vurugu Kali Sana ikaibuka pale,
nikawaachanisha shoga mtu kakimbia kipigo, mpnz wangu kabaki na Mimi.
Aisee alinipiga makofi kadhaa uku analia nikashindwa hata kujibu mapigo nikawa mpole, kisha nikamkumbatia.
Nikambeba Nikampeleka ndani, nikambembeleza hataki kuelewa.
Basi nikaona Ujinga huu, nabembeleza mtu gani uyu haelewi, liwalo na liwe mi naondoka zangu bhana. Nkarud zangu dukan
Cha ajabu nikarud jion nikamkuta, chakula keshapika.
Kanipakulia Nikala bila hata kumsemesha, Kisha nikaenda kulala nikitegemea na yeye ataenda kwao.
Cha ajabu nikaona kaingia kuoga Kisha nae kaja kulala uchi, nikaona Ujinga huu hebu hii kesi niimalize hapa hapa.
Nikamtekenya nikaona kalainika, tukafanya kila mtu kimya kimya. Kibubu bubu.
Baada ya tendo ananiuliza kwann nilimsaliti MDA ule kwa shoga ale.
Nikamwambia,
"Nisamehe Sana mpnz Wang, yaan hata mm mwnyw sielewi ilikuaje kuaje. Ndo maana at ulivyonipiga makofi nilishindwa kujibu nn kimetokea MDA ule. Yaan pale ndo akili zilirudi kwamba nmekukosea"
Akauliza,
"Una maana gan kusema vile"
Nikajibu,
"Haiingii akilini Eti nikatembea na mwanamke mbovu Kama yule, Hivi nakosa Nini kwako, sio sura Wala umbo hakufikii kwa lolote. Mpka najishangaa. Sio bure mpnz wangu atakua kaniroga yule. Ile sio akili yangu kabisa NAKATAA"
Akasema,
"Ndo muangalie wanawake wa kutembea nao, yule Bibi yake anafuga mipaka KIBAO. Huenda Ni kweli amekuroga. Najuta kwanza kwann amekufahamu maana tangu tunasoma wote nilikuaga naskia wanasema Bibi yake mchawi kabisa"
Nikamjibu,
"Kwakweli atakua Ni mchawi Sana mi mwnyw nmeona, ila Nisamehe Sana mpnz Wang. Naomba uniombee sn my love "
Akasema,
"Nakuombea ila na Wewe ujiombee MUNGU akuepushe na majaribu Kama haya, uyu shoga angu mchawi sana wewe TU ndo ulikua ujui"
Basi tukamaliza hivyo,
Ila Sasa yule shoga ake hatukuja kuacha kulalana, Sasa baada ya hapo venue ikahamia guest houses na lodge tunaenda kufanya ila kwa tahadhar kubwa sana tusije kubambwa Tena.
Nilikuja kuachana nao wote miaka 2 mbele, mlokole wangu uyu alikwenda masomoni nje ya nchi. Afu yule shoga mtu nae akaenda kuolewa mkoani uko (dodoma).
Dah! Haya maisha bhana[emoji26]
Ila Wachawi wanasingiziwa mengi,
Sema ulokole wa mpenz wangu yule uliniokoa kwny kesi, Aliamini mno uchawi Hadi kwny vitu vya kijinga kabisa Kama vile[emoji3]
Mkuu[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]legend kama legend
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Waliomuajiri ndio watamhamisha mkoa,Eeh! Unamhamisha mkoa kwani wewe ndio ulimpa ajira [emoji28]
Kwa hiyo ambaye angebaki hai ungeendelea nae?
Wanaume!!!