Tuliowahi kugonganisha "magari", ulichezaje kutatua msala?

Tuliowahi kugonganisha "magari", ulichezaje kutatua msala?

Miaka ya nyuma kabla sijaoa nlikua na binti mmoja mlokole Kwny mahusiano.

Sasa ikawa kila akija kwangu kunifanyia usafi na kunipikia anakuja na shoga ake wa kike mrembo sana,
Sasa Shoga yake uyu alkua anapenda kuangalia mikanda ya Kanumba maana kila CD mpya ikitoka lazima nilikua nayo

Sasa Shoga mtu Kuna Siku alkua anakuja peke ake bila hata mpnz Wang, afu ukaaji wake seblen ulkua unanipa tabu Sana.

Kuna Siku nikamjaribu akakubali na nikawa namega tunda wote wawili, ila ratiba tofauti tofauti pale pale home..

Ila shoga mtu nikamlaghai kwamba anivumilie namtaftia kisa mpnz wang nimuache niendelee na yeye TU, akasema sawa ananisubiria nikipate kisa nimuache.

Kisa no.1
Kuna Siku usiku mpnz Wang Kaja gafla usiku kanigongea, nikamchukua uyu nikamficha uvungun. Alipoingia kanikiss dkk cache Kisha akabeba vyombo vyake alivyoniletea chakula akaondoka navyo kwao, Kisha tukaendelea na uyu shoga mtu mpk asbh. Hakugundua kitu kabisa.

Kisa No.2
Kuna Siku Niko na shoga mtu tuko uchi tunafanya, nikaskia geti linafunguliwa, haraka nikamficha kabatini.
Kumbe mpnz Wang Kaja na nyege zake nae anataka tufanye.
Nikamwambia Basi tukaoge Kwanza, nimkavua tukaingia bafun kuoga, Kisha nkamwambia ngoja nkafunge geti vizur na mlango wa sebleni Kuna wez mtaani kwetu skuhz. Akakubali
Nikarud haraka nikamtoa uyu kabatini aondoke, nguo zake alikwenda kuzivalia kwny choo Cha nje kisha akaondoka zake.
Uyu hakugundua kitu kabisa.

Kisa Cha 3,
Kuna Siku asbh niko dukan, shoga mtu kanambia ananyege tukafanye. Nkamwambia tukutane home nakuja sahv.
Nikawaaga vijana natoka naenda home Mara Moja narud, Basi nikaenda mshughulikia shoga mtu.

Katikati ya tukio, kumbe mpnz wang katoka kanisani kwao nae Kapitia kunijulia Hali dukan kwangu kaambiwa nmeenda nyumban kwangu Mara moja.
Kanisubiria kaona sitokei,hivyo kaamua Kuja nyumban mwnyw.

Sasa kosa nililolifanya siku iyo geti liliegeshwa TU na wote tukasahau kuingiza viatu ndani, yaan kakuta viatu vyangu na sendoz za shoga ake mlangon sebleni na tumejifungia kwa ndani. Afu mziki mkubwa unapiga ndani na taa ya chumban kwangu imewashwa.

Kaja kunigongea dirishan chumban, nikagoma kufungua.
Kapiga sim hatupokei simu zote nmeziweka silent mode. Kaanza kurusha Maneno dirishani anauhakika kwamba Niko na shoga ake mle ndani tunafanya mapenz

Nikajisemea uyu mpk aondoke ndo ntatoka nje. Najua hawez kulala hapa ataondoka TU.
Basi Tumekaa mle ndan karibu Masaa 3 nje kote kuko kimya, nkamwabia uyu.
"Wee toka nje ashaondoka uyu, kavumilia mpk kashindwa. Nilikwambia dawayake Ni Iyo TU." Uyu kafurahi tumecheka tumekiss.

Uyu kavaa,nmefungua mlango katoka nje, nmemsindikiza ile nmefika getini mpenz wang uyu apa nae anatokea kwny kibanda Cha mlinzi. Kumbe alijificha humo MDA wote ule katulia tu.

Vurugu Kali Sana ikaibuka pale,
nikawaachanisha shoga mtu kakimbia kipigo, mpnz wangu kabaki na Mimi.
Aisee alinipiga makofi kadhaa uku analia nikashindwa hata kujibu mapigo nikawa mpole, kisha nikamkumbatia.

Nikambeba Nikampeleka ndani, nikambembeleza hataki kuelewa.

Basi nikaona Ujinga huu, nabembeleza mtu gani uyu haelewi, liwalo na liwe mi naondoka zangu bhana. Nkarud zangu dukan

Cha ajabu nikarud jion nikamkuta, chakula keshapika.
Kanipakulia Nikala bila hata kumsemesha, Kisha nikaenda kulala nikitegemea na yeye ataenda kwao.

Cha ajabu nikaona kaingia kuoga Kisha nae kaja kulala uchi, nikaona Ujinga huu hebu hii kesi niimalize hapa hapa.

Nikamtekenya nikaona kalainika, tukafanya kila mtu kimya kimya. Kibubu bubu.
Baada ya tendo ananiuliza kwann nilimsaliti MDA ule kwa shoga ale.

Nikamwambia,
"Nisamehe Sana mpnz Wang, yaan hata mm mwnyw sielewi ilikuaje kuaje. Ndo maana at ulivyonipiga makofi nilishindwa kujibu nn kimetokea MDA ule. Yaan pale ndo akili zilirudi kwamba nmekukosea"

Akauliza,
"Una maana gan kusema vile"

Nikajibu,
"Haiingii akilini Eti nikatembea na mwanamke mbovu Kama yule, Hivi nakosa Nini kwako, sio sura Wala umbo hakufikii kwa lolote. Mpka najishangaa. Sio bure mpnz wangu atakua kaniroga yule. Ile sio akili yangu kabisa NAKATAA"

Akasema,
"Ndo muangalie wanawake wa kutembea nao, yule Bibi yake anafuga mipaka KIBAO. Huenda Ni kweli amekuroga. Najuta kwanza kwann amekufahamu maana tangu tunasoma wote nilikuaga naskia wanasema Bibi yake mchawi kabisa"

Nikamjibu,
"Kwakweli atakua Ni mchawi Sana mi mwnyw nmeona, ila Nisamehe Sana mpnz Wang. Naomba uniombee sn my love "

Akasema,
"Nakuombea ila na Wewe ujiombee MUNGU akuepushe na majaribu Kama haya, uyu shoga angu mchawi sana wewe TU ndo ulikua ujui"

Basi tukamaliza hivyo,
Ila Sasa yule shoga ake hatukuja kuacha kulalana, Sasa baada ya hapo venue ikahamia guest houses na lodge tunaenda kufanya ila kwa tahadhar kubwa sana tusije kubambwa Tena.

Nilikuja kuachana nao wote miaka 2 mbele, mlokole wangu uyu alikwenda masomoni nje ya nchi. Afu yule shoga mtu nae akaenda kuolewa mkoani uko (dodoma).

Dah! Haya maisha bhana[emoji26]
Ila Wachawi wanasingiziwa mengi,

Sema ulokole wa mpenz wangu yule uliniokoa kwny kesi, Aliamini mno uchawi Hadi kwny vitu vya kijinga kabisa Kama vile[emoji3]
Mwambie Mheshimiwa jaji kuwa kwenye kisa no.3 uliwasha taa mchana wakati kuna mwanga wakati binti aliyetoka kanisani akaona apite kukujulia hali
 
Katika enzi za umalaya wangu, sikumbuki kama niliwahi kugongesha magari. Nilikuwa nacheza kama PELE.
 
ALIKUJA KUNI SURPRISE. MATOKEO YAKE AKAJI SURPRISE MWENYEWE. Mimi nilimpata mmoja akaja geto, nikachakata huyu nilimpenda sana, wakati anaondoka akasema kuna Siku nita Ku surprise, atakuja bila taarifa, anaishi wilaya nyingine sasa kuna ex wangu nilikuwa napambana kurudisha colony, men are polygamy by nature, nimerudisha coloni, kumbe wakati tunaingia geto yule wa wilaya nyingine yuko nyuma yetu, tumezama ndani akarudi, nimechakata Colon bila kufunga mlango maana hakuna mtu anaingia kwangu, badae nimelitoa fresh, usiku napigiwa simu na yule wa wilayani ananieleza alivyokuja akarudi na mwonekano wa lile colony na nguo aliyo vaa, mpaka leo nataka aje ananiambia msalimie yule, ila ananipa matumaini atakuja Siku moja. Swali ni je, angechelewa kidogo akaingia ndani mlango ulikuwa wazi, akakuta push up angefanyaje?
 
Wee jamaa una visa sana, kwanza vp ulishamalizana na yule charii wako anayekumegea? Ushamteka ama bado unaunda tume ya wasiojulikana[emoji23][emoji23]
Niko kwny mchakato wa kumhamisha mkoa, Nadhan wiki ijayo Mambo yatakwenda sawia.

Jana nilikua dodoma kwenda hilo kulishughulikia suala lake.
 
Mwambie Mheshimiwa jaji kuwa kwenye kisa no.3 uliwasha taa mchana wakati kuna mwanga wakati binti aliyetoka kanisani akaona apite kukujulia hali
Mwambie jaji,
Mchana ni kawaida sana kuwasha taa chumbani maana hakuna mwanga wowote wa jua unaingia chumbani, milango na madirisha vimefungwa na pazia zote zimeshushwa.

Au wee mweshimiwa unaishi kwenye pagale lisilo na pazia?
 
Mwambie Mheshimiwa jaji kuwa kwenye kisa no.3 uliwasha taa mchana wakati kuna mwanga wakati binti aliyetoka kanisani akaona apite kukujulia hali
Mwambie jaji,
Ni kawaida Sana alkua akitoka kwny mizunguko yake kunipitia kunijulia Hali maana dukan kwang ilkua Ni Njia Ile ile.
 
Hakukua na pepo Wala Nini, uhuni wangu TU mkuu.
emoji3.png
Uhuni super mkuu
Hakukua na pepo Wala Nini, uhuni wangu TU mkuu.[emoji3]
Ila wee jamaa.Noma aisee🏃🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom