Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,433
- 139,502
- Thread starter
- #201
Yesu kaingiaje tena madam ☹
Yesu kaingiaje tena madam ☹
Atuneni twaola[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwenda huyo boda boda ndo alikuchomaMm kuna mwanamke wa kiarusha nmezaa nae but hatuishi pamoja kwa sasa,ila wakati anakula uzazi alienda kuishi kwa dada angu ambapo sio mbali sana na nlipokua naishi,mwanamke ana mtoto wa miez miwili alaf n upasuaji so nlitaka aishi pale kwa dada ili amsaidie maana mie bdo ckua na uzoefu na lolote,
Pale jirani na sister kulikua dem anasoma form four kipind hiko,,huyu nlianza date nae kuanzia akiwa form 2 so lilikua colon langu,
Siku io jumamos nmempanga aje ghetto akaja chap nikamlipa bodaboda wangu[emoji23] mtoto akaingia ndani,n nmepiga kimoja nmekaa nasikilizia uchovu mara sister ananipigia cm,ckupokea akapiga kama mara 4 iv sikupokea,akatuma sms mwenzio amepigiwa cm kwamba uko na mwanamke ndani hapa anasubiri pkpk aje huko,,
Aisee nlishtuka mwili mzima ulisisimka,nampigia bodaboda wangu hapokei cm,nikamuandikia sms njoo home chap kuna majanga,kumbe yeye ndo amemfata mama wa mtoto wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],ghafla nasikia boda nje kutoka nakuta boda ananisubiri mm na mwanamke ameshuka kwenye pkpk anaropoka yaaan mm nateseka kulea mwenyewe wewe unafanya umalaya huku,
Sijui ule ujasiri nliutoa wapi aisee,nlirud ndani nikamchukua dem nkamuambia mambo yameharibika njoo usepe akaja akapanda pkpk ile ile akaondoka,nikamshika mkono mwanamke wangu nikaingia nae ndani nikamuambia chagua moja piga kelele uondoke ukiwa unalia kwa maumivu ya vibao au ukae kimya tuyamaliza,,,hapo nipo kikauzu sicheki,akakaa kwenye kochi akaaanza kulia,,mm nkaita bodaboda nikasema nikamuacha ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Daaha ukatili huuu..Mm kuna mwanamke wa kiarusha nmezaa nae but hatuishi pamoja kwa sasa,ila wakati anakula uzazi alienda kuishi kwa dada angu ambapo sio mbali sana na nlipokua naishi,mwanamke ana mtoto wa miez miwili alaf n upasuaji so nlitaka aishi pale kwa dada ili amsaidie maana mie bdo ckua na uzoefu na lolote,
Pale jirani na sister kulikua dem anasoma form four kipind hiko,,huyu nlianza date nae kuanzia akiwa form 2 so lilikua colon langu,
Siku io jumamos nmempanga aje ghetto akaja chap nikamlipa bodaboda wangu[emoji23] mtoto akaingia ndani,n nmepiga kimoja nmekaa nasikilizia uchovu mara sister ananipigia cm,ckupokea akapiga kama mara 4 iv sikupokea,akatuma sms mwenzio amepigiwa cm kwamba uko na mwanamke ndani hapa anasubiri pkpk aje huko,,
Aisee nlishtuka mwili mzima ulisisimka,nampigia bodaboda wangu hapokei cm,nikamuandikia sms njoo home chap kuna majanga,kumbe yeye ndo amemfata mama wa mtoto wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],ghafla nasikia boda nje kutoka nakuta boda ananisubiri mm na mwanamke ameshuka kwenye pkpk anaropoka yaaan mm nateseka kulea mwenyewe wewe unafanya umalaya huku,
Sijui ule ujasiri nliutoa wapi aisee,nlirud ndani nikamchukua dem nkamuambia mambo yameharibika njoo usepe akaja akapanda pkpk ile ile akaondoka,nikamshika mkono mwanamke wangu nikaingia nae ndani nikamuambia chagua moja piga kelele uondoke ukiwa unalia kwa maumivu ya vibao au ukae kimya tuyamaliza,,,hapo nipo kikauzu sicheki,akakaa kwenye kochi akaaanza kulia,,mm nkaita bodaboda nikasema nikamuacha ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Cna huo utoto mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477]
Wale majiran zangu kuna mmoja nlipishana nae kauli,alinichoma mbwa yule.mtoa taarifa hana tofauti na muuaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana kuna mwanamke alikua mpangaj mwenzangu ndo alinichoma,,nilikuja kugundua baadae.B
Uwenda huyo boda boda ndo alikuchoma
Kulikua hakuna namna legend.Daaha ukatili huuu..
Mm kuna mwanamke wa kiarusha nmezaa nae but hatuishi pamoja kwa sasa,ila wakati anakula uzazi alienda kuishi kwa dada angu ambapo sio mbali sana na nlipokua naishi,mwanamke ana mtoto wa miez miwili alaf n upasuaji so nlitaka aishi pale kwa dada ili amsaidie maana mie bdo ckua na uzoefu na lolote,
Pale jirani na sister kulikua dem anasoma form four kipind hiko,,huyu nlianza date nae kuanzia akiwa form 2 so lilikua colon langu,
Siku io jumamos nmempanga aje ghetto akaja chap nikamlipa bodaboda wangu[emoji23] mtoto akaingia ndani,n nmepiga kimoja nmekaa nasikilizia uchovu mara sister ananipigia cm,ckupokea akapiga kama mara 4 iv sikupokea,akatuma sms mwenzio amepigiwa cm kwamba uko na mwanamke ndani hapa anasubiri pkpk aje huko,,
Aisee nlishtuka mwili mzima ulisisimka,nampigia bodaboda wangu hapokei cm,nikamuandikia sms njoo home chap kuna majanga,kumbe yeye ndo amemfata mama wa mtoto wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],ghafla nasikia boda nje kutoka nakuta boda ananisubiri mm na mwanamke ameshuka kwenye pkpk anaropoka yaaan mm nateseka kulea mwenyewe wewe unafanya umalaya huku,
Sijui ule ujasiri nliutoa wapi aisee,nlirud ndani nikamchukua dem nkamuambia mambo yameharibika njoo usepe akaja akapanda pkpk ile ile akaondoka,nikamshika mkono mwanamke wangu nikaingia nae ndani nikamuambia chagua moja piga kelele uondoke ukiwa unalia kwa maumivu ya vibao au ukae kimya tuyamaliza,,,hapo nipo kikauzu sicheki,akakaa kwenye kochi akaaanza kulia,,mm nkaita bodaboda nikasema nikamuacha ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ...We jamaa mnyama sana !!😀😀
Haina last seen[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3577]Kama hukuoa bikra, wee vumilia TU mkuu.
Haina last seen ile kitu,kwanza Hii Dunia haijawahi kua fair kabisa mkuu[emoji4]
Hakika, tatizo vijana wabishi sana[emoji4]Haina last seen[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3577]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi Kuna mdada mmoja alitugonganisha na mchizi mmoja nikabaki nimeshikilia tuchips kwenye rambo .Wao wakaingia kwenye ndinga na jamaa yake haoo.Na chips zenyewe na soda kaniagiza mwenyewe huyo ' bitch' nikashindwa nizitupe au nizile mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] we jamaa ulimfanyia ukatili sana huyo mwanamke. Ila huyo bodaboda ni kmmke sanaMm kuna mwanamke wa kiarusha nmezaa nae but hatuishi pamoja kwa sasa,ila wakati anakula uzazi alienda kuishi kwa dada angu ambapo sio mbali sana na nlipokua naishi,mwanamke ana mtoto wa miez miwili alaf n upasuaji so nlitaka aishi pale kwa dada ili amsaidie maana mie bdo ckua na uzoefu na lolote,
Pale jirani na sister kulikua dem anasoma form four kipind hiko,,huyu nlianza date nae kuanzia akiwa form 2 so lilikua colon langu,
Siku io jumamos nmempanga aje ghetto akaja chap nikamlipa bodaboda wangu[emoji23] mtoto akaingia ndani,n nmepiga kimoja nmekaa nasikilizia uchovu mara sister ananipigia cm,ckupokea akapiga kama mara 4 iv sikupokea,akatuma sms mwenzio amepigiwa cm kwamba uko na mwanamke ndani hapa anasubiri pkpk aje huko,,
Aisee nlishtuka mwili mzima ulisisimka,nampigia bodaboda wangu hapokei cm,nikamuandikia sms njoo home chap kuna majanga,kumbe yeye ndo amemfata mama wa mtoto wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],ghafla nasikia boda nje kutoka nakuta boda ananisubiri mm na mwanamke ameshuka kwenye pkpk anaropoka yaaan mm nateseka kulea mwenyewe wewe unafanya umalaya huku,
Sijui ule ujasiri nliutoa wapi aisee,nlirud ndani nikamchukua dem nkamuambia mambo yameharibika njoo usepe akaja akapanda pkpk ile ile akaondoka,nikamshika mkono mwanamke wangu nikaingia nae ndani nikamuambia chagua moja piga kelele uondoke ukiwa unalia kwa maumivu ya vibao au ukae kimya tuyamaliza,,,hapo nipo kikauzu sicheki,akakaa kwenye kochi akaaanza kulia,,mm nkaita bodaboda nikasema nikamuacha ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Noma kaka,hakukua na namna broo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] we jamaa ulimfanyia ukatili sana huyo mwanamke. Ila huyo bodaboda ni kmmke sana