Tuliowahi kugonganisha "magari", ulichezaje kutatua msala?

Mwambie jaji,
Mchana ni kawaida sana kuwasha taa chumbani maana hakuna mwanga wowote wa jua unaingia chumbani, milango na madirisha vimefungwa na pazia zote zimeshushwa.

Au wee mweshimiwa unaishi kwenye pagale lisilo na pazia?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilikua konkodi wa haya mambo na sikuwahi gonganisha licha ya kuishi jirani kabisa na chuo cha tumaini ambako nilikua na madem watatu,halafu ruaha wawili...mtaani wawili mmoja wa salon mwingine tigoshop
watoto wa semtema hamfai...
 
Kugonganisha magari kusikie tu, hata kama wewe ni kauzu namna gani pale lazima uwe mpole.

Mimi kesi ya kwanza kugonganisha magari ni magari yenyewe yalinipanga, magari yakapanga kunishikisha adabu bila mimi mwenyewe kujua.

Mwaka flani nimeanza mahusiano na kabinti ka chuo, katoto katamu balaa, katoto kabichi kabisa. Unajua hivi vitoto vikianza mahusiano vinaingia na kila kitu maana unakuta bado viko innocent, moyo bado haujaumizwa sana.

Sasa hako kabinti kakawa muda mwingi kanakuja geto nakatafuna kanalala ama kanarudi hosteli. Sasa kutokana na shughuli zetu hizi unarudi usiku umechoka, baada ya show mimi nalala, kenyewe kako macho kanacheza na simu.

Kumbe wakati mimi nimelala, mchepuko wangu mwingine mkali kinoma, huyu nilianza kumla akiwa mdogo kabissa. Huyu hua unapiga simu usiku haipokelewi, mara nyingi hua anapiga kujua kama niko macho maana anajua nawahi kulala so hata isipopokelewa hana shid. Kumbe kale katoto kakachukua ile namba maana kameshaona jina zaidi ya mara moja napigiwa usiku.

Kale katoto ka chuo kakamtafuta mchepuko wangu, wakaongea wakaelewana. Mimi kalipokuja kuniuliza nikaruka kimanga bila kujua kwamba kana file langu zima, nikakaelewesha kakaelewa nikaendelea kukala bila shida.

Sasa siku moja mchepuko wangu ukanitumia picha za hako katoto WhatsApp, akaniuliza huyu ni nani, nikashangaa sana. Nikajua hapa kuna mchezo, nikamwambia ukweli, akasema sawa nimekuewa ila achana nae. Nikasema sawa nishaachana nae huku ukweli naendelea kukachakata kama kawaida na nikakapiga biti kasimtafute huyo mwanamke tena. Kakakubali kumbe wananichezea mchezo bila mimi kujua.

Sasa ipo siku nashangaa mchepuko mkubwa unaniambia utakuja kulala, sio kawaida yake kabisa, nikamuuliza umepataje ruhusa nyumbani, akasema nyumbani yuko sister peke yake nimemwambia nakuja kwako amekubali, nikasema sawa ila nikahisi hapa kuna shida.

Kweli mchupuko ukafika jioni, tukapiga piga story hapo, kila nikiomba mechi unasema subiri, subiri ila uko busy na simu kumbe anamwambia yule dogo kua nishafika kwangu njoo nikuhakikishie kua huyu ni mume wangu.

Sina hili wala lile, nashangaa geti inagongwa, naenda kufungua ni katoto ka chuo, moja kwa moja hadi ndani na kanaanza kuniuliza huyu ni nani? Yule mchepuko anajifanya kushangaa kama hajui kitu. Aisee, niliishiwa nguvu, sema katoto ka chuo hakakua na shida kakaondoka. Mchepuko nikamtafuna hadi asubuhi, jioni nikakaleta katoto ka chuo kukatafuna pia. Hawa wanawake ni kujua kucheza na akili zao tu.
Big up Mjuba.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Inabidi kiflashiwe[emoji4]
Jamaa katushikq luwa viatu vilikuwa nje na ndio vilitoa ramani na uhakika kuwa mwamba yupo na mtoto wa Tanga; sasa cha ajabu wakiwa ndani na mlango umefungwa huku boda ikiwa nje silencer, demu anaambiwa shikilia viatu vyako kabisa... utoke nduki kama mshale..hehehehe[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Kesi ya pili kugonganisha magari.

Hii sio kama kugonganisha magari, hii ni kushikwa ugoni.

Mwaka 2018 nilikua nakula vitoto 2 vizuri vya chuo, kimoja USDM na kingine Tumaini, vyote first year mnanywezi najilia vitu mileage ndogo kama kawaida yangu.

Sasa huyu wa UD ni kama alikua mke wangu, namla navyojisikia, anaweza kua hata kwenye kipindi namuita anaachana na kipindi anachukua boda anakuja kuliwa utamu bila shida yoyote. Huyu wa Tumaini ndio ilikua shida kidogo kumpata na kumchakata.

Sasa siku hiyo jumamosi tumekubaliana na huyu wa Tumaini aje geto, nikakapanga kale ka UD kwamba natoka kwenda Africana kwa Brother ameniita, nitashinda huko nitarudi jioni. Nikamwambia nikitoka Afrikana nitakupitia hapo chuo. Kakakubali.

Imefika muda muafaka ngoma ya Tumaini hii hapa, imefika imependeza balaa tupu. Nikamuingiza mtoto geto kabla ya yote nikamchakata kimoja akili ikae sawa. Nikiwa na uhakika niko mwenyewe kwenye compound maana nyuma nilikua naishi kwenye compound tunaishi 2, kila mtu na nyumba yake na kila mtu ana geti lake la kuingilia, sehemu cool hakuna uswahili wala nini.

Kwa kujiamini nikaacha geti dogo kwenye geti langu liko wazi, nikijua niko mwenyewe wasiwasi wa nini na hapa mtu haji bila kuitwa. Sasa baada ya kumaliza kumchakata mtoto wa Tumaini goli la kwanza, nimejipumzikia kitandani nasikia mlango wa jikoni unagongwa, nikajiuliza nani huyo ama jirani karudi ama nini?[emoji23]

Nikachungulia dirishani, hamadi ni mtoto wa UD akiwa na rafiki yake mwingine. Sikuamini macho yangu. Dogo akakuta viatu vyangu viko nje na viatu vya kike viko nje akajua niko ndani na mwanamke, akaja kunigongea dirishani, fungua, fungua. Huyu wa ndani anauliza nani huyo, nikamwambia ni mtoto wa dada yangu[emoji23], akasema mbona ana fujo sana nikasema ngoja nimfungulie aingie.

Nikafungua mlango,, UD akakimbia hadi chumbani akachukua ki hand bag chake na akaondoka hakusema kitu chochote. Huyu wa Tumaini akabaki ameduwaa, ananiuliza mtoto wa dada yako anaingiache chumbani kwako na anaona una mgeni, hata maelezo niliyokua natoa hayana maana yoyote ila ndio hivyo nikakomaa ni mtoto wa sister.

Basi Tumaini hakua na shida nikaendelea kumchakata hadi sa 3 usiku akaondoka kwenda kwao Kigamboni. Usiku sa 7 yule wa UD ananipigia simu anataka kuja, nikamkaribisha, nikamuomba msamaha akanielewa nikamchakata kama kawaida tukalala. Wote walishakua wake za watu ila wa UD nimetoka kumchakata jana na jumamosi namchakata tena. Wa Tumaini last time kumchakata ni November mwaka jana. Hapa namuomba nimchakate bado anazingua zingua ila soon ataelekea kibra.

Kushikwa ugoni kusikie tu.
Story moja interesting...ila kama wameolewa acha kuwachakata...sio ustaarabu.
 
Mi Kuna mdada mmoja alitugonganisha na mchizi mmoja nikabaki nimeshikilia tuchips kwenye rambo .Wao wakaingia kwenye ndinga na jamaa yake haoo.Na chips zenyewe na soda kaniagiza mwenyewe huyo ' bitch' nikashindwa nizitupe au nizile mwenyewe.
 
Bladifakini walikufanya kitu mbaya sana..🤣🤣
Mlirudiana chips vipi ulikula..?
 
Mi Kuna mdada mmoja alitugonganisha na mchizi mmoja nikabaki nimeshikilia tuchips kwenye rambo .Wao wakaingia kwenye ndinga na jamaa yake haoo.Na chips zenyewe na soda kaniagiza mwenyewe huyo ' bitch' nikashindwa nizitupe au nizile mwenyewe.
🤣🤣🤣🤣🤣☹☹☹☹
 
Mie niligonganisha nikakuta "madereva wote" wako fair wakasema kila mtu akatengeneze gari lake
 
Kugonganisha magari kusikie tu, hata kama wewe ni kauzu namna gani pale lazima uwe mpole.

Mimi kesi ya kwanza kugonganisha magari ni magari yenyewe yalinipanga, magari yakapanga kunishikisha adabu bila mimi mwenyewe kujua.

Mwaka flani nimeanza mahusiano na kabinti ka chuo, katoto katamu balaa, katoto kabichi kabisa. Unajua hivi vitoto vikianza mahusiano vinaingia na kila kitu maana unakuta bado viko innocent, moyo bado haujaumizwa sana.

Sasa hako kabinti kakawa muda mwingi kanakuja geto nakatafuna kanalala ama kanarudi hosteli. Sasa kutokana na shughuli zetu hizi unarudi usiku umechoka, baada ya show mimi nalala, kenyewe kako macho kanacheza na simu.

Kumbe wakati mimi nimelala, mchepuko wangu mwingine mkali kinoma, huyu nilianza kumla akiwa mdogo kabissa. Huyu hua unapiga simu usiku haipokelewi, mara nyingi hua anapiga kujua kama niko macho maana anajua nawahi kulala so hata isipopokelewa hana shid. Kumbe kale katoto kakachukua ile namba maana kameshaona jina zaidi ya mara moja napigiwa usiku.

Kale katoto ka chuo kakamtafuta mchepuko wangu, wakaongea wakaelewana. Mimi kalipokuja kuniuliza nikaruka kimanga bila kujua kwamba kana file langu zima, nikakaelewesha kakaelewa nikaendelea kukala bila shida.

Sasa siku moja mchepuko wangu ukanitumia picha za hako katoto WhatsApp, akaniuliza huyu ni nani, nikashangaa sana. Nikajua hapa kuna mchezo, nikamwambia ukweli, akasema sawa nimekuewa ila achana nae. Nikasema sawa nishaachana nae huku ukweli naendelea kukachakata kama kawaida na nikakapiga biti kasimtafute huyo mwanamke tena. Kakakubali kumbe wananichezea mchezo bila mimi kujua.

Sasa ipo siku nashangaa mchepuko mkubwa unaniambia utakuja kulala, sio kawaida yake kabisa, nikamuuliza umepataje ruhusa nyumbani, akasema nyumbani yuko sister peke yake nimemwambia nakuja kwako amekubali, nikasema sawa ila nikahisi hapa kuna shida.

Kweli mchupuko ukafika jioni, tukapiga piga story hapo, kila nikiomba mechi unasema subiri, subiri ila uko busy na simu kumbe anamwambia yule dogo kua nishafika kwangu njoo nikuhakikishie kua huyu ni mume wangu.

Sina hili wala lile, nashangaa geti inagongwa, naenda kufungua ni katoto ka chuo, moja kwa moja hadi ndani na kanaanza kuniuliza huyu ni nani? Yule mchepuko anajifanya kushangaa kama hajui kitu. Aisee, niliishiwa nguvu, sema katoto ka chuo hakakua na shida kakaondoka. Mchepuko nikamtafuna hadi asubuhi, jioni nikakaleta katoto ka chuo kukatafuna pia. Hawa wanawake ni kujua kucheza na akili zao tu.
Hii story mbona kama ya ex wa msanii fulani mdada comedian??
 
Kesi ya pili kugonganisha magari.

Hii sio kama kugonganisha magari, hii ni kushikwa ugoni.

Mwaka 2018 nilikua nakula vitoto 2 vizuri vya chuo, kimoja UDSM na kingine Tumaini, vyote first year mnyamwezi najilia vitu mileage ndogo kama kawaida yangu.

Sasa huyu wa UD ni kama alikua mke wangu, namla navyojisikia, anaweza kua hata kwenye kipindi namuita anaachana na kipindi anachukua boda anakuja kuliwa utamu bila shida yoyote. Huyu wa Tumaini ndio ilikua shida kidogo kumpata na kumchakata.

Sasa siku hiyo jumamosi tumekubaliana na huyu wa Tumaini aje geto, nikakapanga kale ka UD kwamba natoka kwenda Africana kwa Brother ameniita, nitashinda huko nitarudi jioni. Nikamwambia nikitoka Afrikana nitakupitia hapo chuo. Kakakubali.

Imefika muda muafaka ngoma ya Tumaini hii hapa, imefika imependeza balaa tupu. Nikamuingiza mtoto geto kabla ya yote nikamchakata kimoja akili ikae sawa. Nikiwa na uhakika niko mwenyewe kwenye compound maana nyumba nilikua naishi kwenye compound tunaishi 2, kila mtu na nyumba yake na kila mtu ana geti lake la kuingilia, sehemu cool hakuna uswahili wala nini.

Kwa kujiamini nikaacha geti dogo kwenye geti langu liko wazi, nikijua niko mwenyewe wasiwasi wa nini na hapa mtu haji bila kuitwa. Sasa baada ya kumaliza kumchakata mtoto wa Tumaini goli la kwanza, nimejipumzikia kitandani nasikia mlango wa jikoni unagongwa, nikajiuliza nani huyo ama jirani karudi ama nini?[emoji23]

Nikachungulia dirishani, hamadi ni mtoto wa UD akiwa na rafiki yake mwingine. Sikuamini macho yangu. Dogo akakuta viatu vyangu viko nje na viatu vya kike viko nje akajua niko ndani na mwanamke, akaja kunigongea dirishani, fungua, fungua. Huyu wa ndani anauliza nani huyo, nikamwambia ni mtoto wa dada yangu[emoji23], akasema mbona ana fujo sana nikasema ngoja nimfungulie aingie.

Nikafungua mlango,, UD akakimbia hadi chumbani akachukua ki hand bag chake na akaondoka hakusema kitu chochote. Huyu wa Tumaini akabaki ameduwaa, ananiuliza mtoto wa dada yako anaingiache chumbani kwako na anaona una mgeni, hata maelezo niliyokua natoa hayana maana yoyote ila ndio hivyo nikakomaa ni mtoto wa sister.

Basi Tumaini hakua na shida nikaendelea kumchakata hadi sa 3 usiku akaondoka kwenda kwao Kigamboni. Usiku sa 7 yule wa UD ananipigia simu anataka kuja, nikamkaribisha, nikamuomba msamaha akanielewa nikamchakata kama kawaida tukalala. Wote walishakua wake za watu ila wa UD nimetoka kumchakata jana na jumamosi namchakata tena. Wa Tumaini last time kumchakata ni November mwaka jana. Hapa namuomba nimchakate bado anazingua zingua ila soon ataelekea kibra.

Kushikwa ugoni kusikie tu.
Aiseeee
 
Mi Kuna mdada mmoja alitugonganisha na mchizi mmoja nikabaki nimeshikilia tuchips kwenye rambo .Wao wakaingia kwenye ndinga na jamaa yake haoo.Na chips zenyewe na soda kaniagiza mwenyewe huyo ' bitch' nikashindwa nizitupe au nizile mwenyewe.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mi Kuna mdada mmoja alitugonganisha na mchizi mmoja nikabaki nimeshikilia tuchips kwenye rambo .Wao wakaingia kwenye ndinga na jamaa yake haoo.Na chips zenyewe na soda kaniagiza mwenyewe huyo ' bitch' nikashindwa nizitupe au nizile mwenyewe.
Kweli kuwa uyaone sio maghorofa, nahuko ndio kukua, kuona mengi.
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Back
Top Bottom