Kisa kingine nilichogonganisha magari,
Kipind bado sijaoa,
Nikaja kua na mahusiano na binti mmoja alikua anasomea uhasibu kule mkoani (Arusha). Kiukweli binti yule kweli nlikua nampenda sana na nilipanga aje awe mama watoto wangu siku za usoni.
Sasa kutokana na ukame,
Shetan akaja akanipitia nikaangukia mikononi mwa BINTI mmoja anasubiria ajira za serikali pale mtaani kwetu kwao wanafuga ng'ombe wa maziwa. Kwaiyo alikua ananiletea maziwa ya bill kila siku Jion nikisharudi au asbh Sana kabla sijaenda dukan kwangu.
Nikaanza kupita nae kimya kimya .
Sema sikumwambia kwamba nna mtu mwngn tayar.
Sasa Kuna Siku mchumba wangu uyu karudi likizo kafikia kwangu, tukiwa ndani tunafanya yetu ikasikika geti linafunguliwa, Kisha hodi sebleni inagongwa.
Nikauliza "Nani?" ikajibiwa saut ya mtoto mdg kwamba "maziwa" . Nikajua apa usalama ile sauti Ni ya kitoto Cha kwao yule BINTI kimeleta maziwa.
Nikamwabia mwanamke wangu akayachukue maziwa, Basi akachukua na akayapelea MoJa jikon tukandelea kufanya yetu.
Haukupita MDA mrefu Sana tuko tunafanya,
Ikasikika tena geti linasukumwa na hodi nyngn Tena seblen inagongwa, nikauliza "Nani?" kitoto kikaitikia "maziwa"
Nkamwambia mpnz Wang, kamsikilize uyo mtoto anashida gani. Akanambia wee nenda bhana ndo mwenyeji.nikasema POA.
Basi nikavalia boksa na taulo tu nikaenda kufungua, ile nmefungua nikasukumwa kwa ndani, akaelekea chumban Moja kwa moja Kisha nikamfata uko uko. Ile kafika kaanza kulia afu naulizwa "uyu Ni Nani?"
Nikaona hapa,
nikijifanya nabalance kote kote apa nakosa vyote. Apa niangalie upande wa mpenz wang kwa manufaa.
Nikamjibu, "unaniuliza hivyo wewe Kama Nani?"
Akasema, "nakuuliza Kama mpenz wako"
Nikamjibu, "mpenz wako tangu lini? Hivi una akili nzur kweli wewe mwanamke? Au umetumwa?"
Mpenz wangu nae akauliza
"Dp kwani uyu Ni Nani?"
Nikamjibu,
"Mi mwnyw simjui mpnz wang, nashangaa ananiparamia uyu Sijui katumwa na Nani? "
Binti akadakia,
"Dp Hivi wewe wa kunifanyia Hivi kisa hiki kinyago chako umekileta umu ndani?" Uku anaelekea kumkaba Koo na kumpiga makofi.
Aisee wakaanza kukabana,
nikaona Ujinga huu. Nikamtenganisha Kisha nikamzaba makofi mawili ya kushiba shavu la kushoto na la kulia akamuachia koo.
Nikamburuza kwamba atoke kwangu simtambui Mimi, akalia Sana nnachomfanyia sema nikawa serious nikamtoa nje na makofi kibao nikamtupa kwa nje ya geti.nimefura hasira. Kisha nikafunga geti.
Ile nmerud ndani nmenuna,
Uyu nae akaniamshia kesi upya,
"NATAKA uniambie ukweli yule alikua Nani yako? Vinginevyo hapa hapakaliki"
Nikamwambia kwa ukali sana,
"Na Wewe usiniletee huo upumbavu wako Kama umenichoka uniambie tuachane kwa amani sio kunitengenezea mafumanizi feki na kunitumia wanawake hawaeleweki hapa kwangu kuja kunidhalilisha"
Nikaongezea,
"Ifike MDA huu upumbavu mkafanyiane uko na wapumbav wenzenu. Hivi Mimi na heshima zangu naanzaje kutembea na wanawake wabovu na wachafu wachafu Kama wale na wananuka nuka maziwa mwili mzima, hebu tuheshimiane. Tena ukome kabisa kunijaribu. Sijaribiwi mimi"
Akasema,
"Aaah Lazima niulize, maana yule Ni mtu mzima na alikua serious, usitake kujifanya humjui kisa mimi"
Nikamjibu,
"Aisee Kama na Wewe unaungana na yule kichaa wako naomba uondoke apa kwangu haraka sana kabla sijakufanya kitu kibaya. Sitaki upumbavu kwangu" huku nae namburuza kumtoa chumba kumleta sebleni ili aondoke,nae nikamtupia mkoba na mtandio wake chini uko sebleni.
Akaanza kua mpole,
"Basi sawa nmekuelewa, turudi chumban kwanza, unaniburuza unaniumiza bhana"
Nikamjibu,
"Umeyataka mwnyw, huwez kuniletea watu wa hovyo kwangu kisha nikuvumilie"
Akasema,
"Subir bhana, wee unavyonifikiria ndivyo sivyo mwenZio"
Nikamwambia,
"Sitaki kuskia chochote kinahusika na hili suala kwa Sasa,Wee na yule mpumbavu wako mmenivuruga akili yangu kabisa leo, siko sawa kabisa" uku nmenuna balaa.
Akasema, "Aya, Basi yaishe"
Kesi nikawa nmeimaliza hivyo,
Ila Sasa baada ya hapo, Yule binti baada ya siku 2 nikaja kutana nae njiani nikamwambia nna maongez na yeye akasema nimuache.
Nikamwambia nishakuacha mda Wala Sina MDA na wewe Niko kwny mahusiano mengine, maongez yanahusu vitu vingine kabisa na sio mapenz na wewe.
Akakubali ila kwamba tukutane baa na sio kwangu Wala lodge. Nikakubali.
Ile tumefika baa nikamwambia twende lodge nikakukabudhi vitu vyako vyote tulivyopeana tuachane kwa amani, mahusiano aya yafe rasmi. Akakataa ila baadae akakubali.
Aisee alivyofika lodge,
Hakukua na kitu chochote Wala Nini, Tukaishia kusex na tukarudiana tena.
Ila baada ya kusex nikamwambia na yeye alichokosea ni kuja kwangu bila taarifa, afu yule Ni MKE wangu kabisa na siku ile wake zangu walikuemo ndani. Akalalamika ila akakubali ule uwongo wangu.
Na akasema kabla hajaja atakua ananiparamia taarifa. Nikasema sawa.
Nikawa namega wote, kabla hajaja anaambia kwamba aje au aache.
Ila Baadae sasa uyu binti alikuja kupata KAZI Zanzibar, umbali ukatuachanisha kabisa.
Uyu wa uhasibu Arusha,
Tulikuja kuachana aliponifumania na mwanamke mwingine Mara ya pili Niko Coco Beach kwny gar tunafanya mapenz.
Na kwasababu tayar nilishamtoa moyoni hata sikuangaika nae, Aliposema tuachane nikasema "POA" ikawa imeisha hivyo.